Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Ukosefu wa maji ni uvivu wetu watanzania zaidi ikisababishwa na sera mbovu za maendeleo, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kufanya kazi kwa walio aminiwa na kupewa nafasi. Fikiria hata maeneo yenye maji yanayotiririka katika mto usiokauka maji kuna shida ya maji, achilia mbali ardhi iliyojaa maji, yapo maeneo maji yapotele umbali usiozidi MITA 30,hata fikra ya kuchimba visima kwa matumizi ya jamii hakuna. Sasa tumlaumu nani kama SII wenyewe.Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
DuhKuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Ziwa liko jirani yake lakini ana shida ya majiKweli wewe ni msukuma toka lini sweaming pool ikasababisha uhaba wa maji?
Nchi yetu imebarikiwa maji mengi sema akili ya kuyatumia hatuna
Ndio ushangae Sasa tena maji ya ziwa huwa hayana chumvi na wananchi wanateseka kwa kukosa majiZiwa liko jirani yake lakini ana shida ya maji
Ova
Kwani ziko ngapi kiasi cha wewe kuona zikizuiwa zitaleta tofauti. Na baada ya hapo watu waambiwe kuoga ni mara mbili tu kwa wiki. Na ni shower tuu, hakuna kuoga kwenye bathtub. Na vyoo vya ku flush marufuku, tutumie vya shimo.Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
ππππππππππππππKuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
Katiba mpya sio kipaumbele kwa Sasa bali tume huru ya uchaguzi"Act wazalendo agendaHilo sio tatizo la nchi kama mtu amejenga pool lake na analipia DAWASCO or whatever you may call it ama anachimba maji toka ardhini linakuwaje tatizo la nchi!
Serikali mlioipa dhamana inaweka watu goigoi ndio maana hata management ya vitu vidogo namna hii inakuwa tabu. Utaskia mama katoa billion kadhaa kumpa mtu flani ili ajenge kitu flani ila kutoa billion kadhaa kujenga water repositories kuhifadhi maji huwezi sikia hilo.
Hii katiba iwe ya mwisho na tuandike inginw upya kuna upumbavu mwingi mno kama bureaucracy zisizo na maana na ndio maana Magufuli alikuwa anajiamulia tu kwa mabavu ya uraisi kufanya vitu straightaway as long as anafanya kwa nia njema tu. Maana angeamua wafuate protocol huenda hata Kijazi interchange ingekuwa bado inajadiliwa kwenye vikao mpaka leo.
Yaani wewe njaa zako unataka watu wengine wasile?Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools?
Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa.
Kama ni jambo linaloonekana si busara kulizuia kabisa, ingewezekana basi kuwacharge 'luxury tax' wamiliki wa madimbwi haya.
ACT wana njaa ya siasaKatiba mpya sio kipaumbele kwa Sasa bali tume huru ya uchaguzi"Act wazalendo agenda