Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

Ndio ushangae Sasa tena maji ya ziwa huwa hayana chumvi na wananchi wanateseka kwa kukosa maji
Watu wanawaza miradi itakayo ijaza mifuko Kwa namna mmoja au nyingine.
 
Nchi ina maji mengi ya kutosha zaidi ya Saudi Arabia, Emirates na Israel zilizo jangwani
 
Ujamaa ni mfumo wa kijinga Sana kuwahi kutokea hapa Ulimwenguni maana hufanya watu kuwaza mawazo ya kimasikini Sana Kama mleta mada
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
 
Halafu ukaishi hapo miaka 20 hadi Uongozi wa Mtaa ukapewa.
 
Ni sawa na kudai 'luxury tax' kwa kumiliki gari binafsi sababu wengi hawana magari pamoja na kusababisha vifo vya watu na kuchafua mazingira. Kwa hiyo wananchi wote watumia bodaboda, bajaji na mabasi.
 
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
Ila mwenyewe alisema atanangwa , na akajitetea anatoka wing ya sgang.
 
Aliposema tu msukuma nikajua shida iko wapi! Tatizo ni ushamba na kukosa exposure! Badala aelimishe watu wake kupunguza idadi ya mifugo na kuacha kukata miti ili tusiwe na ukame yeye anakuja na hoja eti kusijengwe swimming pools!

Ujinga ni kipaji!
Shida ya mtu mjinga hujiona anajua ilihali hajui na ubaya yeye mwenyewe haoni Kama hajui
 
Unazungumzia nchi gani?
 
Kuliko wachukua 5bn kujenga bwawa linaliweza kuhudmia Thousands of Citzen bora watumie hizo pesa kununua mpinzani, kumuwinda Diwani wa chadema na kurudia uchaguzi wa Bn 10.

Hii nchi kama haijalaaniwa basi inaongozwa na viongozi wenye laana
 
Kweli wewe ni msukuma toka lini sweaming pool ikasababisha uhaba wa maji?
Nchi yetu imebarikiwa maji mengi sema akili ya kuyatumia hatuna
Sweaming!!! Basi sawa
 
Hata kula biriyani ya elfu 10 sahani nayo ipigwe "luxury tax". Watu wale wali rundo, nyama 3 , na maharage kwa Mama Ntilie.
 
Ndio ushangae Sasa tena maji ya ziwa huwa hayana chumvi na wananchi wanateseka kwa kukosa maji
Tukiyachota sana tutapunguza maji ya kwenda Nile river kuhudumia waliobarikiwa huko.

Kila kitu kinatokea kwa sababu.
 
Utakuta wewe na ni baba/mama na watoto mume/mke wanakutegemea kwenye maisha yao kwa miongozo mbalimbali😢😢😢.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…