Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #21
Hakika kuendelea kumfanyia figisu figisu Tundu Lissu ni kuendelea kumjaribu Mungu wetu.Hawa wajinga wa NEC wanajaribu kucheza na nguvu za MUNGU,watashangaa hizo siku 8 za magufuli kujiuguza ndiyo Hali ya Afya yake inazidi kuwa mbaya sasa sijui watafanyaje!!
MUNGU huwa njia zake hazichunguziki
Hawa CCM na hiyo Tume "yao" ya uchaguzi kipigo watakachopata kwenye uchaguzi huu, hawatakisahau katika maisha yao yote!