Mystery JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 15,843 Reaction score 31,057 Oct 3, 2020 Thread starter #21 pureView Zeiss said: Hawa wajinga wa NEC wanajaribu kucheza na nguvu za MUNGU,watashangaa hizo siku 8 za magufuli kujiuguza ndiyo Hali ya Afya yake inazidi kuwa mbaya sasa sijui watafanyaje!! MUNGU huwa njia zake hazichunguziki Click to expand... Hakika kuendelea kumfanyia figisu figisu Tundu Lissu ni kuendelea kumjaribu Mungu wetu. Hawa CCM na hiyo Tume "yao" ya uchaguzi kipigo watakachopata kwenye uchaguzi huu, hawatakisahau katika maisha yao yote!
pureView Zeiss said: Hawa wajinga wa NEC wanajaribu kucheza na nguvu za MUNGU,watashangaa hizo siku 8 za magufuli kujiuguza ndiyo Hali ya Afya yake inazidi kuwa mbaya sasa sijui watafanyaje!! MUNGU huwa njia zake hazichunguziki Click to expand... Hakika kuendelea kumfanyia figisu figisu Tundu Lissu ni kuendelea kumjaribu Mungu wetu. Hawa CCM na hiyo Tume "yao" ya uchaguzi kipigo watakachopata kwenye uchaguzi huu, hawatakisahau katika maisha yao yote!
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Oct 3, 2020 #22 Mystery said: Hakika kuendelea kumfanyia figisu figisu Tundu Lissu ni kuendelea kumjaribu Mungu wetu. Hawa CCM na hiyo Tume "yao" ya uchaguzi kipigo watakachopata kwenye uchaguzi huu, hawatakisahau katika maisha yao yote! Click to expand... Na wanaendelea kudhoofisha afya ya mtu wao
Mystery said: Hakika kuendelea kumfanyia figisu figisu Tundu Lissu ni kuendelea kumjaribu Mungu wetu. Hawa CCM na hiyo Tume "yao" ya uchaguzi kipigo watakachopata kwenye uchaguzi huu, hawatakisahau katika maisha yao yote! Click to expand... Na wanaendelea kudhoofisha afya ya mtu wao
N nguruka wa kig0ma JF-Expert Member Joined Jan 16, 2020 Posts 2,946 Reaction score 2,932 Oct 3, 2020 #23 Automata said: Na sentensi kama hizo, 'kwamba akishughulikiwa ndo atazidi kupaishwa nazo zimechangia kumpa bichwa Lisu', hivyo kuzidi kuuendelea kufanya vituko akiaamini hatoguswa Click to expand... Mtaka jiwe au tume isiambiwe ukweli?
Automata said: Na sentensi kama hizo, 'kwamba akishughulikiwa ndo atazidi kupaishwa nazo zimechangia kumpa bichwa Lisu', hivyo kuzidi kuuendelea kufanya vituko akiaamini hatoguswa Click to expand... Mtaka jiwe au tume isiambiwe ukweli?