Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri.

Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya kuwaaga.

Nasema mlipo msijisikie kinyonge , nami ipo siku tutakutana huko , kama kweli wababe hawajuhi hili basi mie nalijua, Mungu akawape pumziko la milele ,

Imekua asema Bwana
 
Ni jambo la kumshukuru mtukufu, mpendwa, mheshimiwa, mpenda watu, msikivu, mtenda maajabu, mwenye maono, sheha, askofa, al hajat, maulana, ustaadha, daktari, profesa emeritus Samia Suluhu Hassan.
 
Kuteka na kuua ndio UDHAIFU mkubwa wa CCM TU.
Hilo liko wazi...sio la kujadili

Hicho kitu kisichokuwa sawa ndio tatizo lenyewe.
CCM na dhambi za kuvunja democracy hayo tumeyazoea.

CCM na dhambi za utekaji, ulawiti na mauaji; hili jipya.
 
Ni jambo la kumshukuru mtukufu, mpendwa, mheshimiwa, mpenda watu, msikivu, mtenda maajabu, mwenye maono, sheha, askofa, al hajat, maulana, ustaadha, daktari, profesa emeritus Samia Suluhu Hassan.
Pumbavu , mimi nipo kwenye maombolezo ya vijana wangu wawili waliouwawa 29oct 2025 na hawakua kwenye maandamo kwa asilimia 100 , alafu unakuja na ngojera za kipumbavu hapa.

Itoshe Mungu ameniambia mambo Mengi, ila moja tu nakupa kama chawa mpumbavu , sio mda , mtaona , huwezi teketeza watoto wa Mwana wa Mungu ukawa salama , itakua Mungu yupi kwetu? Mnaenda pata mapigo 10 ,tunza hii ,asema Bwana
 
Back
Top Bottom