Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama

Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba msamaha rasimi kwa familia yake, kutusamehe watanzania kwa yale tulikosea kwenu na Mungu wa huruma, atusamehe pia
 
Nenda bengeni kamuombe msamaha Jesca ni mbunge wa vita maalumu kutokana na uchaguzi wa maigizo ulioondoka na mamia ya roho za raia.
 
Na bado hata Samia mtamuomba tu msamaha tena wala siyo siku nyingi ni kesho tu!!!
 
Kwangu hapana, haya yanayotokea chanzo kikuu ni marehemu!
 
Propaganda zilitumika kumchafua mzee wa watu. Anaweza kuchukuliwa maiti isiyo na ndugu katika hospital akawekwa kwenye kiroba watu wamuokote kokobitch alafu akasingiziwa mzee wa watu. Ubaya mzee hakuwa mzungumzaji. Leo ndio tunajua kuwa hata kuongezewa miska iwe 7 alikuwa anahujumiwa. Haya sasa mnakutana na wanaofanya kweli. Endeleeni kutubu

Hata huyo dada yenu wa taifa aliyapigia chapuo maandamano baada ya kugundua wanamtandao walimuingiza chaka, karma ikamtesa . Kumbe mzee hakuwa fisadi.
 
Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama

Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba msamaha rasimi kwa familia yake, kutusamehe watanzania kwa yale tulikosea kwenu na Mungu wa huruma, atusamehe pia
Sisi tuliliona mapema sana. Tuliwaambia toka mwanzo kuwa Dkt Magufuli hakuhusika ila hicho kikundi aisee kina nguvu mno mpaka rais kushindwa kukithibiti. Na Dkt Samia kosa lake ni kugombea tu ndiyo maana kawa killer. Wanamtandao hawakumtaka
 
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya kuhusu ukatili wa Magufuli.?! Ni hivi, huu ukatili wa sasa ni matunda ya mbegu aliyopanda Magufuli. Kosa la Samia ni kuiga aina ya utawala wa Magufuli. Yaani kaiga tembo kunya kaishia kupasuka msamba.
 
Back
Top Bottom