mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Nenda bengeni kamuombe msamaha Jesca ni mbunge wa vita maalumu kutokana na uchaguzi wa maigizo ulioondoka na mamia ya roho za raia.Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama
Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba msamaha rasimi kwa familia yake, kutusamehe watanzania kwa yale tulikosea kwenu na Mungu wa huruma, atusamehe pia
Sisi tuliliona mapema sana. Tuliwaambia toka mwanzo kuwa Dkt Magufuli hakuhusika ila hicho kikundi aisee kina nguvu mno mpaka rais kushindwa kukithibiti. Na Dkt Samia kosa lake ni kugombea tu ndiyo maana kawa killer. Wanamtandao hawakumtakaKwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama
Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba msamaha rasimi kwa familia yake, kutusamehe watanzania kwa yale tulikosea kwenu na Mungu wa huruma, atusamehe pia
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya kuhusu ukatili wa Magufuli.?! Ni hivi, huu ukatili wa sasa ni matunda ya mbegu aliyopanda Magufuli. Kosa la Samia ni kuiga aina ya utawala wa Magufuli. Yaani kaiga tembo kunya kaishia kupasuka msamba.Sisi tuliliona mapema sana. Tuliwaambia toka mwanzo kuwa Dkt Magufuli hakuhusika ila hicho kikundi aisee kina nguvu mno mpaka rais kushindwa kukithibiti. Na Dkt Samia kosa lake ni kugombea tu ndiyo maana kawa killer. Wanamtandao hawakumtaka