Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Kama ni kweli basi jamaa ni mshenzi na hana sifa ya kuwa Mme

Huenda na STD anayo na kaipeleka kwa mke wake na huenda ni muadilifu na mama wa nyumbani
Ila binadamu tunatofautiana sana na Mungu atuongoze
Kwa hapo alipofikia huyo jamaa unafikiri mke wake hajui kiongozi?

Lazima kuna purukushani zinaendelea
 
Hakuna kitu huwa kinanifikirisha na kuniumiza kama kuzaa na mwanamke ambaye kipindi tupo kwenye mahusiano kuna wakati alikuwa ananiambia ananipenda kuliko wazazi wakeπŸ˜„πŸ˜„ kwahiyo akawa ananishawishi nihamishe mchi kutoka laini 1 kwenda 2.

Sikuwahi kufanya kitu hicho na dada mwenyewe ukimuangalia kwa haraka unaweza kudhani huyu ndiye wife material. Alining'ang'ania sana nimuoe lakini akili iligoma kabisa nikabaki kuhudumia mtoto tu.

Kabla ya kubeba mimba nilikuwa namtahadharisha kila mara ikiwemo kumtisha kimtindo kwamba sitaki suala la mimba wakati huu lakini cha kushangaza aliitegesha mimba nakuja kushtuka imo halafu anasema hatotoa hii mimba hata kama sipo tayari kuilea.

Nashindwa kuelewa kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kupitishwa njia za vumbi?
 
Itoshe kusema bosi wako ni mpumbavu wa mahusiano,hapo hana uwezo wa kumridhisha huyo mwanamke anategemea pesa ndio iwe silaha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…