Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.

Bora useme wewee.
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
1789336691572.png
 
Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,

Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii

Lakini demu ni Malaya na nusu bro kamfumania mara kibao na kumwacha kashindwa, kamfumgulia biashara ya uwakala wa miamala ya pesa kwa mtaji wa milion saba na Kila siku boss anatoa 30k ya kula lakini biashara haijafikisha miezi 6 ishakufa,

Boss anasema kampa pesa, kama ni nguvu za kiume anasema nishampakia mkongo na nishamfanya kinyume na maumbile ili tu atulie lakini wapi.

Jamaa kawa kama kadata cjui karogwa, hili ni fundisho Bora kuchapa na kusepa tu haya mambo ya kugharamikia kumridhisha mwanamke ni uwehu
 

Attachments

  • 20251224_081919.jpg
    20251224_081919.jpg
    101.7 KB · Views: 5
huyu akupe kinyeo,utaacha kuvurugwa?
Halafu unajua nini bro

Umbo la mwanamke ni utamu wa babamkwe malaya aliyepita

Vile aliwazia nyege zake zinatoshelezewaje.! akawaza umbo akapenda maungo akatomba kikazaliwa kitu cha kutuchapa makofi vitoto vikorofi vijavyo 🤗

Itoshe kusema washukuriwe malaya waliopita kwa updating zao😎
 
Back
Top Bottom