Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Kama ni TV basi hizi ndio zile Smart TV 8K...

Mungu fundi nyieeee
😅😅😅
787726666_17905600983513037_6327831507466095371_n.jpg
 
Hiyo kumla Tigo ni kama alitaka kumkomoa . Na sidhan kwa sababu jamaa amekula Kisamvu basi ndio maana jamaa kadata na hiyo Pisi.

Kwa uzoefu wangu, Ishu hapa naona ni moja.

Demu ni mjanja kuliko Mwamba.
pisi itakuwa inajua code nying za kumteka mwanaume. Na jamaa hazijui ndio maana hawezi kuchomoka.

Ni kama vile ukutane na Mwanaume mwenye maneno ya kilaghai, na mjanja. Anaweza akawaunga tela wanawake hata wanne na wakajuana na wote wasiweze kumuacha Huyo mwanaume.

Sasa huyu Mwanamke. Ni wa namna hiyo. Ni Pisi na ni Mjanja, na kapata boya wa kumuendesha.
Bc ngoja jamaa anyooshwe
 
Mtu unamfira na bado unataka kuwa nae 😂

Unajua kabisa huyu mwanamke ni malaya ila bado unapambana umridhishe 😂

Kmmk wallah wanaume sometimes ni kama vile hatuna akili timamu aisee kmmk 🙌
Kaka una Manisha mwanamke yeyote akfrwa n malaya je kama anataka kumlizsha me ili asiachwe
 
Napenda watu wanaoona mambo kwa ukubwa.

😅😅😅😅 Wazee wa necha watakwambia mwanaume hawezi kuridhika.

Honestly sionagi mantiki ya malaya kwa malaya kushangaana na kupopoana mawe, like huyo Boss ni malaya, huyo mwanamke wake ni malaya vile vile wote hawaridhiki, takataka 🚮
Na isitoshe wamekutaniana bar
 
Hiyo kumla Tigo ni kama alitaka kumkomoa . Na sidhan kwa sababu jamaa amekula Kisamvu basi ndio maana jamaa kadata na hiyo Pisi.

Kwa uzoefu wangu, Ishu hapa naona ni moja.

Demu ni mjanja kuliko Mwamba.
pisi itakuwa inajua code nying za kumteka mwanaume. Na jamaa hazijui ndio maana hawezi kuchomoka.

Ni kama vile ukutane na Mwanaume mwenye maneno ya kilaghai, na mjanja. Anaweza akawaunga tela wanawake hata wanne na wakajuana na wote wasiweze kumuacha Huyo mwanaume.

Sasa huyu Mwanamke. Ni wa namna hiyo. Ni Pisi na ni Mjanja, na kapata boya wa kumuendesha.
Hawa ni wale geti Kali au wa vijijini huko kabahatika kupata ka kaazi mjini kaanza kuwapapalukia wakina piptyda
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.

Mwanamme hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
 
Chinua Achebe na Ngugi wa Thiong walishasema mwanamke ni chombo cha starehe nyie mnataka kuwaridhisha.
 
Back
Top Bottom