Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,

Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii

Lakini demu ni Malaya na nusu bro kamfumania mara kibao na kumwacha kashindwa, kamfumgulia biashara ya uwakala wa miamala ya pesa kwa mtaji wa milion saba na Kila siku boss anatoa 30k ya kula lakini biashara haijafikisha miezi 6 ishakufa,

Boss anasema kampa pesa, kama ni nguvu za kiume anasema nishampakia mkongo na nishamfanya kinyume na maumbile ili tu atulie lakini wapi.

Jamaa kawa kama kadata cjui karogwa, hili ni fundisho Bora kuchapa na kusepa tu haya mambo ya kugharamikia kumridhisha mwanamke ni uwehu
Tunagharamika kwa mwanamke uliezaa nae TU,na kama ukiona Hana akili ya maisha unampa Hela ya kula ndogo ndogo na sehem ya kuishi!akiolewa na mwingine unapiga chini!!

Sasa jamaa kunasa kwake ni kwasababu amekosa mbadala wa mwingine ndio maana!!

Mwanamke haachwi ghafula ghafula lazima utaumia,unamuacha pole pole TU,Kwasababu penzi lipo deep kwenye nafsi unatakiwa uanze kuikemea nafsi kwa jina la Mungu mwenyewe ili ianze kupoa kidogo kidogo Hadi ubaridi utaanza kuingia kihisia!!

Asipofanya hayo atateseka sana!!
 
Kwa hiyo bogus wako aliona akimzibua mtaro basi malkia kimwana atatulia??
Na ni kwa nini atulie na mme wa mtu??
Acha aendelee kuliwa hela mpaka akili zimkae sawa...jiandae kukosa kazi.
 
Ila mimi naamini wapo ambao hawachepuki kabisa.
Kwani mkuu na wewe unachepuka?

Sijasema hawapo, nimesisitiza tu huo mtihani wa kuwasaka, kuwapata na kuverifai ni mgumu sana, ni kundi ls watu wachache sana. Hapa sizungumzii wale ambao akiamka hana hela ya kula, anasema amefunga.

Nawaongelea wale nguvu zipo, uwezo upo, ila wameamua kwa sababu zao binafsi, wameamua kutochepuka, wapo.
 
Hapo nimekuelewa.
Mbona haujanijibu swali lingine?
 
Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,

Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii

Lakini demu ni Malaya na nusu bro kamfumania mara kibao na kumwacha kashindwa, kamfumgulia biashara ya uwakala wa miamala ya pesa kwa mtaji wa milion saba na Kila siku boss anatoa 30k ya kula lakini biashara haijafikisha miezi 6 ishakufa,

Boss anasema kampa pesa, kama ni nguvu za kiume anasema nishampakia mkongo na nishamfanya kinyume na maumbile ili tu atulie lakini wapi.

Jamaa kawa kama kadata cjui karogwa, hili ni fundisho Bora kuchapa na kusepa tu haya mambo ya kugharamikia kumridhisha mwanamke ni uwehu
Ni ngumu sana kumrishisha Malaya lkn yote kwa yote tusiishi maisha ya wengine tutaumia sana na kuyaharibu maisha yetu kisa tu wengine
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Na hajaweka namba ya boss, naongezea shenzi kabisa
 
Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,

Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii

Lakini demu ni Malaya na nusu bro kamfumania mara kibao na kumwacha kashindwa, kamfumgulia biashara ya uwakala wa miamala ya pesa kwa mtaji wa milion saba na Kila siku boss anatoa 30k ya kula lakini biashara haijafikisha miezi 6 ishakufa,

Boss anasema kampa pesa, kama ni nguvu za kiume anasema nishampakia mkongo na nishamfanya kinyume na maumbile ili tu atulie lakini wapi.

Jamaa kawa kama kadata cjui karogwa, hili ni fundisho Bora kuchapa na kusepa tu haya mambo ya kugharamikia kumridhisha mwanamke ni uwehu
IPO sana, Biblia inasema:Aziniye na mwanamke,hana akili kabisa,Fanya Jambo litakalomuangamiza Nafsi yake,Soma kwenye Mithali6__!
 
'Asigawe talala kwa mkewe'?!

Ingelikuwa ni wewe ungelimtaliki mkeo kwa sababu ya mchepuko?

Au wadhani kwa mwanamme rijali kuchepuka ni kumchoka mke?
Kama hawezi kumtaliki mke wake, kwanini anataka mchepuko atulie ili hali yeye kashindwa kutulia kwa mke wake?

Kama hajamchoka mke wake, basi na huyo mchepuko hajawachoka wanaume zake. Hakuna haja ya kulalamika
 
Back
Top Bottom