Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.

Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.

Hii bar nitarudi tena kivingine.
 
Vile unajipanga ukirudi tu unakuta mabinti wazuri wote wamehama, waliokohamia kuna ma handsome na pesa zaidi pekeako ndo unaanza kuwa na sura ngumu 😅 time doesn't wait
 
Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.

Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.

Hii bar nitarudi tena kivingine.
Uhandsome na hela wapi na wapi labda hela za kuwagawia Malaya.
Hela na kujiangalia kwenye kioo wapi na wapi
 
Unatafuta pesa kwa ajili ya wanawake na pombe, wenzako wanatafuta pesa kwa ajili ya financial freedom.
Wewe ni pombe na wanawake, trust me ukiwa mpenzi wa hivyo vitu huwezi fika popote maana kila ukipata kiasi fulani cha pesa zitakuwa zinaishia huko.
You are just born to loose, born to loose!
 
Back
Top Bottom