Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

Unatafuta pesa kwa ajili ya wanawake na pombe, wenzako wanatafuta pesa kwa ajili ya financial freedom.
Wewe ni pombe na wanawake, trust me ukiwa mpenzi wa hivyo vitu huwezi fika popote maana kila ukipata kiasi fulani cha pesa zitakuwa zinaishia huko.
You are just born to loose, born to loose!
Kila mtu analengo oake la maisha
 
Malaya anapotaka kuji brandi shida sana 🤣🤣🤣🤣Mm nikajua umepata hasira ya kutafuta pesa kwa ajiri ya maisha yako ww unataka urudi tena ukawakomeshe watu .Jitafute ukijipata achana na umalaya tafuta pisi moja kali weka ndani ikuzalie kizazi chako kula raha na familia yako...Ukishindana na mbususu uzee waja utakua miongoni mwa wazee wa hovyo yana huna mbele wala nyuma.
 
Futa neno lako la kwanza
 
Unatafuta pesa kwa ajili ya wanawake na pombe, wenzako wanatafuta pesa kwa ajili ya financial freedom.
Wewe ni pombe na wanawake, trust me ukiwa mpenzi wa hivyo vitu huwezi fika popote maana kila ukipata kiasi fulani cha pesa zitakuwa zinaishia huko.
You are just born to loose, born to loose!
Nafuu ya pombe, ukijiingiza kwa wanawake hapo umaskini na wewe mtakuwa ndugu
 
Back
Top Bottom