Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

Mwenzako mmoja aligeuza gari baada ya kuona hali ilivyo parking, alikimbia vibaya.
 
Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.

Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.

Hii bar nitarudi tena kivingine.
Haha au usirudi tu kaenjoy na mke wako
 
Back
Top Bottom