Vile unajipanga ukirudi tu unakuta mabinti wazuri wote wamehama, waliokohamia kuna ma handsome na pesa zaidi pekeako ndo unaanza kuwa na sura ngumu 😅 time doesn't waitEeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.
Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.
Hii bar nitarudi tena kivingine.
Au azipate uzeeni,Vile unajipanga ukirudi tu unakuta mabinti wazuri wote wamehama, waliokohamia kuna ma handsome na pesa zaidi pekeako ndo unaanza kuwa na sura ngumu 😅 time doesn't wait
Au azipate uzeeni
Haha akiwa na sura ngumu sasa🤣Au azipate uzeeni,
Uhandsome na hela wapi na wapi labda hela za kuwagawia Malaya.Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.
Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.
Hii bar nitarudi tena kivingine.
Inasikitisha sana taifa kuwa na aina hii ya vijananataka nipambane af niwe kijana handsome
"""Mmmmh mmmmmh tauponzaaa eeeeeh"""Mjini hapa kuwa makini utauponza!!
Sijui kama tutafanikiwa kuishinikiza serikali kujali wananchi na kuacha matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.Ndio vijana wanaotegemewa na taifa hawa