Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

Kila mtu analengo oake la maisha
 
Malaya anapotaka kuji brandi shida sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃMm nikajua umepata hasira ya kutafuta pesa kwa ajiri ya maisha yako ww unataka urudi tena ukawakomeshe watu .Jitafute ukijipata achana na umalaya tafuta pisi moja kali weka ndani ikuzalie kizazi chako kula raha na familia yako...Ukishindana na mbususu uzee waja utakua miongoni mwa wazee wa hovyo yana huna mbele wala nyuma.
 
Futa neno lako la kwanza
 
Nafuu ya pombe, ukijiingiza kwa wanawake hapo umaskini na wewe mtakuwa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ