Yanga hii ambayo kwa IHEFU inautafuta kwa tochi?Wewe tulia shida yenu mpira mmeujulia ukubwani, angalia daraja la Augsburg na ligi wanayocheza, angalia kikosi Chao ni Cha mabilioni unalinganishaje na yanga? Ayo madhaifu unayoyaona kwa yanga akuna timu hapa Africa inaweza kufurukuta pamoja na madhaifu yao, umeyaona madhaifu kwakuwa wamecheza na timu Bora inayocheza ulaya, vipi ayo madhaifu mbona mamelodi awakuyatumia? Awakuyaona? Basi mshupaze shingo Cha moto mtakipata
🗣 Waambie babaaah!Wewe tulia shida yenu mpira mmeujulia ukubwani, angalia daraja la Augsburg na ligi wanayocheza, angalia kikosi Chao ni Cha mabilioni unalinganishaje na yanga? Ayo madhaifu unayoyaona kwa yanga akuna timu hapa Africa inaweza kufurukuta pamoja na madhaifu yao, umeyaona madhaifu kwakuwa wamecheza na timu Bora inayocheza ulaya, vipi ayo madhaifu mbona mamelodi awakuyatumia? Awakuyaona? Basi mshupaze shingo Cha moto mtakipata
.............. mpaka usemeIla Yang'a bana hahahha
Hiyo Augsburg na Sevila iliyocheza na Simba ipi bora? isitoshe Wajerumani wamechezesha wachezaji wawili tu wanaoanzaga kikosi cha kwanza wakati Sevila walipocheza na Simba walichezesha kikosi cha kwanza. Pia kipindi cha pili Augsburg walibadili kikosi chote na kuingiza vijanaWewe tulia shida yenu mpira mmeujulia ukubwani, angalia daraja la Augsburg na ligi wanayocheza, angalia kikosi Chao ni Cha mabilioni unalinganishaje na yanga? Ayo madhaifu unayoyaona kwa yanga akuna timu hapa Africa inaweza kufurukuta pamoja na madhaifu yao, umeyaona madhaifu kwakuwa wamecheza na timu Bora inayocheza ulaya, vipi ayo madhaifu mbona mamelodi awakuyatumia? Awakuyaona? Basi mshupaze shingo Cha moto mtakipata
kama goli la kwanza lile, ni uzembe wa beki.Ila beki kidogo kuna shida, wanaruhusu magoli mepesi
Na Sevila silimulipigwa 5 ama munadhani habali zenu hatuna?Hiyo Augsburg na Sevila iliyocheza na Simba ipi bora? isitoshe Wajerumani wamechezesha wachezaji wawili tu wanaoanzaga kikosi cha kwanza wakati Sevila walipocheza na Simba walichezesha kikosi cha kwanza. Pia kipindi cha pili Augsburg walibadili kikosi chote na kuingiza vijana
Tulupigwa 5-4 hadi half time tulikuwabtunaongoza 3-1 ,tulivyowatoa mastaa Sevilla wakatufunga, nyie kipindi cha kwanza mmefungwa na wachezaji wa kikosi B, half time wakaingiza kikosi C halafu mnafurahi utadhani mmeshinda. Kumbuka Sevilla ni bingwa wa zamani wa UEFA wakati hiyo Augsburg hata top 10 haijawahi kuingia kwa zaidi ya miaka 10Na Sevila silimulipigwa 5 ama munadhani habali zenu hatuna?
Kwanini kwenye luninga mdau?Nahisi mtawekewa katika mfumo wa surprise, hadi siku ya Simba day ndio mtaiona mechi ya timu yenu kwenye luninga.
Hongera, ila nilimaanisha kuwa mechi kuoneshwa live kama ilivyokuwa leo.Kwanini kwenye luninga mdau?
Tarehe 03.08.2024
Nitakuwa uwanjani mapema sana
🤔🤔🤔🤔Kumbe ulikuwa unaangalia matokeo, wenzako wamekuzidi mengi, mechi za maandalizi ya msimu mpya ni zaidi ya kuangalia matokeo, Mamelodi kacheza mechi 3 za kirafiki na kapoteza zote kwa maana iyo ni timu mbovu?
Anatafuta kwa kuzugia.Ni 2-1 baaasiii.Hayo mengine apambane na mzee Magoma.2-1 hayo mengine Baki nayo
Na ndicho kitakachowagharimu, viongozi wao wanashindwa kuwaambia ukweli juu ya faida na hasara ya ujenzi wa timu mpya, wanajua kabisa mashabiki wa timu yao walio wengi icho kitu awakijui wao wanachoaminishwa ndio icho wanataka kitokee na kisipotokea mangungu anayo kazi ya ziada kwa mara nyingine, duniani akuna mpira wa ivyo wa kuacha wachezaji 17 na ukaclick kwa haraka kupata muunganiko na kupambania Mataji ni uongoAhmed anawajaza tu. Msijitumainishe sana kwa timu iliyoacha wachezaji 17 na kusajili wengine 17. Hiyo sio project ya mwaka mmoja kama Ahamed anavyowadanganya.
Hayo maombi ya kuelekeza kwa Simba Bora tuelekeze kwa Azam ila Simba hata viongozi wanajua msimu huu utakuwa Moja ya misimu mibaya kabisa kuwahi kuwa nayoWewe mpira ulizaliwa nao.
Tangu msimu uliopita Yanga ina udhaifu sana tu hapo kwenye beki ni ubora wa diara ndo unauficha huo udhaifu na ndo maana Diara ni moja ya magolikipa wenye sifa nzuri. Ni kwasababu ya kazi aliyoifanya ya kuficha udhaifu wa beki ya Yanga. Narudia, sala zielekezwe kwenye kikosi kipya cha Simba kichelewe kuwa timu.