Yanga hii ambayo kwa IHEFU inautafuta kwa tochi?Wewe tulia shida yenu mpira mmeujulia ukubwani, angalia daraja la Augsburg na ligi wanayocheza, angalia kikosi Chao ni Cha mabilioni unalinganishaje na yanga? Ayo madhaifu unayoyaona kwa yanga akuna timu hapa Africa inaweza kufurukuta pamoja na madhaifu yao, umeyaona madhaifu kwakuwa wamecheza na timu Bora inayocheza ulaya, vipi ayo madhaifu mbona mamelodi awakuyatumia? Awakuyaona? Basi mshupaze shingo Cha moto mtakipata