LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Niko Mbeya, Mara mia achaguliwe Wa kuja. Kuliko kupewa mmama Mbeya, nakueleza ukweli, hats Mimi natamani Sugu apumzike awapishe wengine lakini sio kwa kumpitisha Tulia.Uliza wana Mbeya wengine hawamuungi mkono hata wanaccm waliowengi.Watu wanatafuna pesa kupitia kale Katrust kake kaliko Uyole.Mbona wamechagua mngoni wa songea?
Haahaa, kwani huko hakuna binadamuMasasi.
Mmmh, labda hapo ulipo.Ccm ikitaka ipoteze jimbo kizembe impitishe Huyu mama kugombea.Ndio visingizio vya upinzani wakishakataliwa na Wananchi
Tulia anakubalika na wanambeya wote acha kupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmama mmbeya ana tatizo gani?Niko Mbeya, Mara mia achaguliwe Wa kuja. Kuliko kupewa mmama Mbeya, nakueleza ukweli, hats Mimi natamani Sugu apumzike awapishe wengine lakini sio kwa kumpitisha Tulia.Uliza wana Mbeya wengine hawamuungi mkono hata wanaccm waliowengi.Watu wanatafuna pesa kupitia kale Katrust kake kaliko Uyole.
Haahaa, madanganyeni Magu, juzi baadhi ya wanaccm Kule maeneo ya Sai wanasema inabidi chama kifanye utafiti ili kumshinda sugu nani agombee, hawamwamini Tulia.Tulikupenda sugu ila mungu ametupenda zaidi kutupa tulia ackisoni. Mungu akuweke sugu pema kwenye kufoka kwenye hoteli yako.
Fanya uchunguzi wako sasa, nimekupa Tips. Nyie mnadanganywa Na vigelegele anavyopigiwa wakati anagawa rushwa kupitia Tulia trust iliyopo Uyole.Mmama mmbeya ana tatizo gani?
Kumbe huna jibu.Fanya uchunguzi wako sasa, nimekupa Tips. Nyie mnadanganywa Na vigelegele anavyopigiwa wakati anagawa rushwa kupitia Tulia trust iliyopo Uyole.
Serkali inaongoza kwa kufuata sheria, haiwezi kuingilia muhimili mwingine
Atafikishwa na vyombo vinavyohusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo watakuwa wanaccm waliolamba mpunga Wa Tulia Trust iliyoko Uyole.Unataka nianze kuorodhesha alivyosaidia wewe km nani?
Wanambeya wamemuomba agombee ubunge hajajipeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, mdanganyeni.wanaccm wengine wamesema akipitishwa Tulia wasilaumiwe.Kumbe huna jibu.
Tulia ndio mbunge wa mbeya mjini 2020-2025. Weka hii kama kumbumbu, akipita sugu nitakupa hela ya mtaji.
Naona uko busy kumpigia chapuo
mtoa post ulishawahi tembelea jimbo la Kongwa la mh Ndungai?
ukitembelea ndo uje tena hapa
endelea kunywa bia yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mk
mkuu, mdanganyeni.wanaccm wengine wamesema akipitishwa Tulia wasilaumiwe.
Huo watakuwa wanaccm waliolamba mpunga Wa Tulia Trust iliyoko Uyole.
jimbo la kongwa maskini aisee aisee ila ndugai upara unangaa kama mnyapala wa gereza la segerea dooh
Sent from my iPhone using JamiiForums