LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Niko Mbeya, Mara mia achaguliwe Wa kuja. Kuliko kupewa mmama Mbeya, nakueleza ukweli, hats Mimi natamani Sugu apumzike awapishe wengine lakini sio kwa kumpitisha Tulia.Uliza wana Mbeya wengine hawamuungi mkono hata wanaccm waliowengi.Watu wanatafuna pesa kupitia kale Katrust kake kaliko Uyole.Mbona wamechagua mngoni wa songea?