Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Mbona wamechagua mngoni wa songea?
Niko Mbeya, Mara mia achaguliwe Wa kuja. Kuliko kupewa mmama Mbeya, nakueleza ukweli, hats Mimi natamani Sugu apumzike awapishe wengine lakini sio kwa kumpitisha Tulia.Uliza wana Mbeya wengine hawamuungi mkono hata wanaccm waliowengi.Watu wanatafuna pesa kupitia kale Katrust kake kaliko Uyole.
 
Mmama mmbeya ana tatizo gani?
 
Fanya uchunguzi wako sasa, nimekupa Tips. Nyie mnadanganywa Na vigelegele anavyopigiwa wakati anagawa rushwa kupitia Tulia trust iliyopo Uyole.
Kumbe huna jibu.
Tulia ndio mbunge wa mbeya mjini 2020-2025. Weka hii kama kumbumbu, akipita sugu nitakupa hela ya mtaji.
 
Serkali inaongoza kwa kufuata sheria, haiwezi kuingilia muhimili mwingine

Atafikishwa na vyombo vinavyohusika

Sent using Jamii Forums mobile app
459435.jpg
 
Back
Top Bottom