Muda wa mavuno kwa madalali wa siasa umefika. Utapambwa kama kaburi la malkia, kumbe watu wanataka kula hela.
Kwanza mleta uzi , bado hajafikia hata umri wa kupiga kura,ameingia humu JF juzi wakati anasubili shule zifunguliwe, kwa hiyo tusibishane na vitoto.
Palilia kibarua chako maana mvua ikikoma kunyesha,jua litawaka utosini
Mtoa post ni hausigeli wa Tulia.Analeta porojo kumfurahisha boss wake apunguze ukali wa maisha.!
Kibibi kinasaidia kwasababu kinautaka ubunge baada ya hapo anawaacha solemba!
Kuna yule mtoa hela moshi mjini Davis Mosha!kama kweli alikuwa na nia ya kuwasaidia watu mbona sa iv hatoi hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaimba wimbo wa corona nyinyi mnaimba uchaguzi vipi nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa Sugu umeisha kufanya nini?
Au kumpa utamu?
Acha hizo jombaa!!
Yeye hafanyi kampeni Wananchi wanamwomba agombee na pia Wananchi walimuomba asaidie yeye hakujipeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Mwambie apambane na Mary Mwanjelwa Kwanza huku Sugu Kama kawa anaenda kuvunja Rekodi nyingine ya kupata kura nyingi zaidi
Muhimu mshagara wake haulinfani na tunayoyaona. Tulitarajia mtumishi wa serikali alete mawazo mbadala na sio pesa.
Waitara generous mwengine wa ccm alijatibu hicho anachokifanya huyo msichana na kaonywa. Sasa huyo msichana yuko juu ya sheria?!?!?!
Wanambeya wanaotaka sabuni, khanga karne hii inabidi tujiulize Mara mbili, mbili
Dr Tulia hajapelekwa alifuatwa na wana mbeya kuombwa
Amesaidia wana mbeya, ila mbunge wao hataki kuwasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app