Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Kumbe bia ndo inaongea ? Sipotezi mda kukoment
 
Hii ndio kampeni imeanza au ni Nini.Wapiga kura wanajua Nani wa kumchagua.Muda ukifika wataamua tu.Tupambane na Corona Kwanza.
 
Hahahaha sisi ndo wapiga kura jamaa ee jiliwaze tu hapa na marushwa yenu,ivi unajua mambo makubwa ya kiutu aliyotufanyia sugu ww.hahaha umenichekesha sana asee na tathimini yako, mwnye akil maiti tuu kama ww ndo atakuelewa
Mkuu, jee umefika na kukaa Mbeya au unapata taarifa za kila siku? Kwa miezi mitatu hivi hali ni mbaya ?. Tuondoe ushabiki tukakosa kiti, Mbunge wangu Sugu muda umefika jitokeze kwa nguvu ili urudishe nuru ambayo umekuwa nayo Mbeya kwa muda mrefu. Huyu dada ni mwiba ukiudharau utakuchoma. Binti anakimbia kwa hatua ndefu na kwa kasi.
 
Mkuu tatizo kila kitu watu wanaleta siasa, ccm kwa mfano ilipaswa kufanya utafiti ili waweze kushinda majimbo ya upinzani wafanye nn Na wawapeleke wagombea gani.Wao hawajiangaishi kuwekeza kwa umma Bali mapolis Na dola.
Sssa madhara ya kutumia dola kuingia madarakani ndio tunayaona likitokea tatizo la kiteknikali au la kitabibu kulitatua inakuwa shida kwa viongozi wetu sababu most of them victory zao nyingi walizipata kwa kutumia dola, hapo umeongea na kinachoboa wanatumia pesa mingi na nguvu mingi kurudi madarakan, haya umerudi fanya basi yanayotakiwa kufanywa wananchi wako waone impact hufanyi na kwakuwa unajua next time utatumia nguvu tena utarudi ndio mana hawajali hata kidogo. Corona imekuja kuwaumbua wakubwa na inawakumbusha kuinvest kwenye sehemu za muhimu sio kwenye kununua wabunge na madiwani.
 
achague kurudi kuithaminisha game au asimamie hotel! Sugu moto chini!! aha aha aha! hana maajabu ni mhuni tu sijui machizi wake wa mbeya walimchaguaje!

 
Kwa Buhari nzuri au mbaya. Wanaolumbana humu jf sii watu wa mbeya. Ni wachagga na wakurya na wanyaturu kidogo... tutaona November

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wambeya hatujasoma?
Hili jukwaa ni la KABILA?
Wewe ni mnyakyusa, huku umekujje?
wakati unajiunga uliona sehemu imeandikwa kutaja kabila?
HII ELIMU YA UPE HAIJAKUKOMBOA KITU, wewe ni stool -kwa lugha za hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…