Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
- Thread starter
- #281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo bila kufatwa asingetoa rushwa eee. Nimekuelewa
Kumbuka yakwamba unatumiwa baadae unaachwa
Stupid politics
Kumbe bia ndo inaongea ? Sipotezi mda kukomentKila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Kumbe rushwa ktk uchaguzi ni mini. Na kwanini wengine hawaruhusiwi kupita kwa wananchi kugawa sabuni, khanga fulana tena wengine ni walewale
Kumbe rushwa ktk uchaguzi ni mini. Na kwanini wengine hawaruhusiwi kupita kwa wananchi kugawa sabuni, khanga fulana tena wengine ni walewale
Sibishani na CHUBUKU.
Mkuu, jee umefika na kukaa Mbeya au unapata taarifa za kila siku? Kwa miezi mitatu hivi hali ni mbaya ?. Tuondoe ushabiki tukakosa kiti, Mbunge wangu Sugu muda umefika jitokeze kwa nguvu ili urudishe nuru ambayo umekuwa nayo Mbeya kwa muda mrefu. Huyu dada ni mwiba ukiudharau utakuchoma. Binti anakimbia kwa hatua ndefu na kwa kasi.Hahahaha sisi ndo wapiga kura jamaa ee jiliwaze tu hapa na marushwa yenu,ivi unajua mambo makubwa ya kiutu aliyotufanyia sugu ww.hahaha umenichekesha sana asee na tathimini yako, mwnye akil maiti tuu kama ww ndo atakuelewa
Sssa madhara ya kutumia dola kuingia madarakani ndio tunayaona likitokea tatizo la kiteknikali au la kitabibu kulitatua inakuwa shida kwa viongozi wetu sababu most of them victory zao nyingi walizipata kwa kutumia dola, hapo umeongea na kinachoboa wanatumia pesa mingi na nguvu mingi kurudi madarakan, haya umerudi fanya basi yanayotakiwa kufanywa wananchi wako waone impact hufanyi na kwakuwa unajua next time utatumia nguvu tena utarudi ndio mana hawajali hata kidogo. Corona imekuja kuwaumbua wakubwa na inawakumbusha kuinvest kwenye sehemu za muhimu sio kwenye kununua wabunge na madiwani.Mkuu tatizo kila kitu watu wanaleta siasa, ccm kwa mfano ilipaswa kufanya utafiti ili waweze kushinda majimbo ya upinzani wafanye nn Na wawapeleke wagombea gani.Wao hawajiangaishi kuwekeza kwa umma Bali mapolis Na dola.
Tulia atakula Knock Out kabla ya saa 4 asubuhi, kiufupi kwenye siasa za Mbeya Mjini hakuna anachomshinda Sugu kama kipo hapa kiseme.Chadema mnaumia nini akipitishwa Tulia?
Mnajua anaenda kumpiga tatu bila jamaa enu
Sent using Jamii Forums mobile app
achague kurudi kuithaminisha game au asimamie hotel! Sugu moto chini!! aha aha aha! hana maajabu ni mhuni tu sijui machizi wake wa mbeya walimchaguaje!
Hao siyo "wahuni" walishindwaje na serikali yao?achague kurudi kuithaminisha game au asimamie hotel! Sugu moto chini!! aha aha aha! hana maajabu ni mhuni tu sijui machizi wake wa mbeya walimchaguaje!
hawezi kwakuwa ni mwanafunzi wa JIWEKangi Lugola mumeshamfikisha mahakamani
Sisi wambeya hatujasoma?Kwa Buhari nzuri au mbaya. Wanaolumbana humu jf sii watu wa mbeya. Ni wachagga na wakurya na wanyaturu kidogo... tutaona November
Sent using Jamii Forums mobile app