Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Chadema Ndio walitaka walete Vurugu baada ya kushindwa Uchaguzi

Mtafinywa sana tu mkileta kiherehere
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hawa Chadema wanakesha mtandaoni kupiga propaganda
Hawajui hali iliyopo jimboni

Sugu amepoteza ushawishi mbeya, Wananchi wamemchoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu amechokwa Mbeya, Tatizo nyie mnashida mtandaoni hamuijui Mbeya
Kwa kutumia mtindo wa WIZI WA KURA kupitia TUME ISIYO HURU wanaweza kumnyang'anya Mhe. Joseph Mbilinyi(Sugu)asubuhi mapema! Lakini kama ni Uchaguzi Huru na Haki chini ya Tume Huru Mama Asiye Tulia Akisonya hataona ndani.......!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye Ndio amejimilikisha Jimbo, tumempeleka waitara akagaragaze

Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome Waitara ni Tapeli wa kisasa na hana huruma na wapiga kura.
Kahama chama kwa milioni 400, alipohamia hakuna lolote alilofanya jimboni bali kutumia gari la umma kwenda kupiga kampeni jimboni tarime ambapo yeye si mkazi, yupo after tumbo lake, Watu wa Mara watakuwa vichaa kama watamchagua, yani hawana watu wa kuwaongoza mpaka watafute "malaya wa kisiasa" ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…