Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Tulia ni mtu hatari sana , wapiga kura wamejifunza toka kwa viongozi wa sasa, walionunuliwa wote hamna kitu walichofanyaTulia kawasaidia Nini? Kazi ya mbunge Ni kuwasemea wanambeya.Lini Sugu hakuwahi kuwasemea Wana Mbeya.Ukiona Kuna Mambo hayajafanyika ujue Serikali ambayo Tulia yumo imeacha kwa makusudi kupeleka maendeleo wakati wananchi wanalipa Kodi kwa uaminifu.Ogopa Sana mtu anayetafuta uongozi kwa rushwa Kama Tulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda tukutane October uje uone ushindi wa kimbunga wa Ccm
Sugu amechokwa kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Sugu amechokwa mama asingehangaika kila siku mara msaada huu mara ule. Nakuambia, labda mfanya fitna zenu lakini kwa sanduku, mama hatoboi.
Mm ni mkazi wa mbeya mjini naweza kusema Tulia anakazi ngumu Sana kwa mbeya mjini nguvu yaziada inabidi itumike wakazi wa hapa Bado wanamihemko Sana yakipinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti moyo wa kutoa yaani mswahili asaidie tu bure,anasaidia au anawekeza.Aanze kusaidia ndugu zake ukoo wake Kama ana Upendo huo wa YesuKila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Kabadili ID maana kwa speed hio atakuwa ni kawe alumni maana siku hizi wanakopwa Hawa L7 ni mwendo wa kulimbikiza tu buku 7
Huu ni usajili mpya wa Lumumba. Umeanza kwa kasi kweli kweli.
Usitake kujua mambo binafsiMara yako ya mwisho kwenda Mbeya ni lini?
Sugu hata hawataki kumwona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Sio ukali mkuu. Anonymity ndio msingi wa JF. Jua tu Mbeya nakujua vizuri sana. Toka kipindi hicho, mji ulikuwa unaishia Mwanjelwa na Forest mpya tulikuwa tunawinda njuni
Sio ukali mkuu. Anonymity ndio msingi wa JF. Jua tu Mbeya nakujua vizuri sana. Toka kipindi hicho, mji ulikuwa unaishia Mwanjelwa na Forest mpya tulikuwa tunawinda njuni
Kama unajuea siasa za Mbeya utajua CCM wana matatizo mawili
1. CCM yenyewe
2. Sugu
Hilo la kwanza hamuwezi kutatua kwa kuletewa mtu kutoka Dar. Ndio maana nakwambia uchaguzi ukiwa wa haki, huyu mama hatoboi. Lakini mambo mliyoyafanya kwenye serikali za mitaa tumeyaona, labda mrudie yale mambo.
Kweli ya kisayansi,ndio maana mlitaka kumtanguliza Mzee Mangula mzee wa analogia mbaki wanasayansi.
Kumbe hata makamasi hayajamuisha