Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Tulia kawasaidia Nini? Kazi ya mbunge Ni kuwasemea wanambeya.Lini Sugu hakuwahi kuwasemea Wana Mbeya.Ukiona Kuna Mambo hayajafanyika ujue Serikali ambayo Tulia yumo imeacha kwa makusudi kupeleka maendeleo wakati wananchi wanalipa Kodi kwa uaminifu.Ogopa Sana mtu anayetafuta uongozi kwa rushwa Kama Tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia ni mtu hatari sana , wapiga kura wamejifunza toka kwa viongozi wa sasa, walionunuliwa wote hamna kitu walichofanya
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Eti moyo wa kutoa yaani mswahili asaidie tu bure,anasaidia au anawekeza.Aanze kusaidia ndugu zake ukoo wake Kama ana Upendo huo wa Yesu
 
Bia Yetu
JF-Expert Member

Joined Apr 14, 2020
rep.png
247
point.png
250

KARIBU JF.
Kabadili ID maana kwa speed hio atakuwa ni kawe alumni maana siku hizi wanakopwa Hawa L7 ni mwendo wa kulimbikiza tu buku 7
 
Mama Tarumbeta
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo kaka Nadhani hata Wewe unajua Sugu amechokwa Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unajuea siasa za Mbeya utajua CCM wana matatizo mawili

1. CCM yenyewe
2. Sugu

Hilo la kwanza hamuwezi kutatua kwa kuletewa mtu kutoka Dar. Ndio maana nakwambia uchaguzi ukiwa wa haki, huyu mama hatoboi. Lakini mambo mliyoyafanya kwenye serikali za mitaa tumeyaona, labda mrudie yale mambo.
 
Ccm ya sasa ni ya kisayansi kijana wait and see

Back
Top Bottom