Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Sanduku la kura ndio litaamua sio wewe mleta uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu ni farasi tu wala hawezi kushindana na yule dada,tatizo la chadema wanadhani wananchi hawana akili,walio wengi hata hawapendi ule uongeaji wa wanasiasa wa chadema,kufokafoka tu kusiko na maana,hasira za kipuuzi,kashifa hata pale ambao serikali imetenda vyema yenyewe ni kelele tu..na hao wananchi wengi ninao wasema wala hajui twitter na jamii forum ndo mdudu gani
 
mbona mbeya uchaguzi umeisha dada kalegea mpaka kanyang'Anya bajaji sema kweli ili mwenzio apate rescued hali ni mbaya
 
Aliyekutuma uje kuandika uzi wako wa hovyo kama huu, anakuzalilisha yeye Tulia kafanya kampeni miaka 5 Sugu kafungwa kazuiwa kufanya siasa Mbeya, hafu nakuambia tu bila Wizi Mnyaki hashindi Mbeya jiji huyo mama anapoyeza pesa zake
Hivi mtu aliyefungwa hua mnamjua vizuri au mnatapikaga tu kwa vile mna cha kusema?mnajua kufungwa nyie?

Nyambafu kabisa subiri ukija kufungwa baada ya miaka ukitoka ndo utajua kufungwa ni nini
 
Hivi mtu aliyefungwa hua mnamjua vizuri au mnatapikaga tu kwa vile mna cha kusema?mnajua kufungwa nyie?

Nyambafu kabisa subiri ukija kufungwa baada ya miaka ukitoka ndo utajua kufungwa ni nini
Acha upunguani wa akili!!
 
Sugu analitambua Hilo ndo maana kaimarisha Hotel Yake badala ya maslahi ya Wapiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…