Wewe mwenye kujua Mbeya tuambie.
Tulia hatoboi Hapo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye kujua Mbeya tuambie.
Sugu ni farasi tu wala hawezi kushindana na yule dada,tatizo la chadema wanadhani wananchi hawana akili,walio wengi hata hawapendi ule uongeaji wa wanasiasa wa chadema,kufokafoka tu kusiko na maana,hasira za kipuuzi,kashifa hata pale ambao serikali imetenda vyema yenyewe ni kelele tu..na hao wananchi wengi ninao wasema wala hajui twitter na jamii forum ndo mdudu gani
mbona mbeya uchaguzi umeisha dada kalegea mpaka kanyang'Anya bajaji sema kweli ili mwenzio apate rescued hali ni mbayaKila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Hivi mtu aliyefungwa hua mnamjua vizuri au mnatapikaga tu kwa vile mna cha kusema?mnajua kufungwa nyie?Aliyekutuma uje kuandika uzi wako wa hovyo kama huu, anakuzalilisha yeye Tulia kafanya kampeni miaka 5 Sugu kafungwa kazuiwa kufanya siasa Mbeya, hafu nakuambia tu bila Wizi Mnyaki hashindi Mbeya jiji huyo mama anapoyeza pesa zake
Acha upunguani wa akili!!Hivi mtu aliyefungwa hua mnamjua vizuri au mnatapikaga tu kwa vile mna cha kusema?mnajua kufungwa nyie?
Nyambafu kabisa subiri ukija kufungwa baada ya miaka ukitoka ndo utajua kufungwa ni nini
Wewe mwenye kujua Mbeya tuambie.