Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Jilinde na corona kwanza
Ati wanaikemea corona ishindwe. Mungu huwa hajaribiwi timiza wajibu wako kwanza ha ha ha

count down ni 21 days from now, ili kuokotane maiti mjini.
 
Aliyekutuma uje kuandika uzi wako wa hovyo kama huu, anakuzalilisha yeye Tulia kafanya kampeni miaka 5 Sugu kafungwa kazuiwa kufanya siasa Mbeya, hafu nakuambia tu bila Wizi Mnyaki hashindi Mbeya jiji huyo mama anapoyeza pesa zake
 
Naona bado haujawaelewa wanasiasa wa Tz,, Ngoja wampitishie huone izo huduma zitaishia wap? Uwa wanapenda kutoa huduma ili waonekane wema mwishowe wanakimbia
 
Mbona unaandika huku ukiwa umepandwa jazba Mkuu

Hiyo Ndio Siasa, mambo yamebadilika, Sugu amechokwa
Hahahaha sisi ndo wapiga kura jamaa ee jiliwaze tu hapa na marushwa yenu,ivi unajua mambo makubwa ya kiutu aliyotufanyia sugu ww.hahaha umenichekesha sana asee na tathimini yako, mwnye akil maiti tuu kama ww ndo atakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ati wanaikemea corona ishindwe........Mungu huwa hajaribiwi timiza wajibu wako kwanza ha ha ha

count down ni 21 days from now...ili kuokotane maiti mjini....
Wakati wenyewe wame Ji lock down
 
Huyu mama anautaka ubunge kwa hali na mali na alishaanza kampeni mapema sana si chama chake wanaomkemea wala tume ya uchaguzi. Wana Mbeya pokeeni tu hivyo anavyovitoa kwenye sanduku la kura mmuoneshe nie ni kina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…