Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Basi CCM tumeshindwa kuendeleza apo Mbeya ..maana sisi ndiyo tupo madarakani na ilani inayotekelezwa ni yetu.Mleta mada umetuonyesha kua CCM tumedanganya kabisa na tuwezi kuleta maendeleo.
 
Acha uoga,yaani hapa hofu ya sugu unajifanya kumshauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wa Lumumba nakunona umeingia kwenye zamu wiki hii sasa. Ila hongera kwa kuchaguliwa kuwa miongoni mwa timu ya watu waliobakia kwenye buku7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kamanda tukutane October uje uone ushindi wa kimbunga wa Ccm
Aliyekutuma uje kuandika uzi wako wa hovyo kama huu, anakuzalilisha yeye Tulia kafanya kampeni miaka 5 Sugu kafungwa kazuiwa kufanya siasa Mbeya, hafu nakuambia tu bila Wizi Mnyaki hashindi Mbeya jiji huyo mama anapoyeza pesa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…