Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa la international unaandika pumba umeona hakukufai umehamia na huku.
Acha uoga,yaani hapa hofu ya sugu unajifanya kumshauri.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Kwa namna mtoa mada unavyoshambuliwa, ni wazi Sugu anapendwa sana kuliko Tulia, na hata kma NEC wakimkata Sugu ukweli utabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Huyo Dr wenu kabla ya kuwa N/spika alkuwa anafanya nn ni bora umshauri arudi huko watu wa Mbeya wapo kama sigara ya nyota
Jimbo halina maendeleo kutwa matukio tu. Tunarudi nyumbani mazima. Wengine wacha wakaendeshe Gest zao
Jamaa wa Lumumba nakunona umeingia kwenye zamu wiki hii sasa. Ila hongera kwa kuchaguliwa kuwa miongoni mwa timu ya watu waliobakia kwenye buku7.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Ila ccm wakitaka kula hela yako wanavyokupamba, ngoja sasa wagundue zimeisha, kama hawakujui vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ww inaelekea ni usajili mpya wa team lumumba kupitia dirisha dogo. Tafuta riziki ya wanao achana na sugu yeye tayari anaweza kumudu maisha yake hadi uzeeni
ndiyo nakwambia hivi, muacheni Mkurugenzi wa uchaguzi - ana familia kama nyie...
ati wanaikemea corona ishindwe........Mungu huwa hajaribiwi timiza wajibu wako kwanza ha ha ha
count down ni 21 days from now...ili kuokotane maiti mjini....
Aliyekutuma uje kuandika uzi wako wa hovyo kama huu, anakuzalilisha yeye Tulia kafanya kampeni miaka 5 Sugu kafungwa kazuiwa kufanya siasa Mbeya, hafu nakuambia tu bila Wizi Mnyaki hashindi Mbeya jiji huyo mama anapoyeza pesa zake
Naona bado haujawaelewa wanasiasa wa Tz,, Ngoja wampitishie huone izo huduma zitaishia wap? Uwa wanapenda kutoa huduma ili waonekane wema mwishowe wanakimbia
unafurahia kuona jiji lenye maambukizi kibao likiwa liko uchi? yaani watu wanaingia na kutoka watakavyo kuichota Corona kuipeleka mikoani - hiki ndiyo unakipenda ?Kwahiyo unafurahia Watanzania wenzako wakifa?
Hivi Chadema mnajitambua?
Sent using Jamii Forums mobile app