Jimbo halina maendeleo kutwa matukio tu. Tunarudi nyumbani mazima. Wengine wacha wakaendeshe Gest zao
Jamaa wa Lumumba nakunona umeingia kwenye zamu wiki hii sasa. Ila hongera kwa kuchaguliwa kuwa miongoni mwa timu ya watu waliobakia kwenye buku7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi watoto wa dox unawaambia Nini kuhusu sugu ***** !
unafurahia kuona jiji lenye maambukizi kibao likiwa liko uchi? yaani watu wanaingia na kutoka watakavyo kuichota Corona kuipeleka mikoani - hiki ndiyo unakipenda ?
Naunga mkono hoja ila uchaguzi wa nn kupoteza pesa za Bure tu Hali ya kuwa matokeo tayari mnayo... View attachment 1420545
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa kama mbayuwayu....za kuambiwa.......Wewe km una pesa lala Ndani jifungie Ndani
Sisi Watanzania tumeambiwa na Rais tufanye kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida siyo amefanya nn kwa muda mfupi swali vipi Jimbo la Ndugai hivyo vitu vipo?majimbo ya ccm mengine je?jibu ni kwamba anatongoza wapiga kura,wafrika tunateseka kwa kukosa maarifa
Takukuru wanajua kuhusu huo msaada wa hela anazotoa huyo mama ? Tunajua haguswi kwasababu ana Kinga ila anachofanya ni rushwa tupu.
Jinga lingine limezaliwa Lumumba! Full time liko JF na ujinga wa siasa za kishenzi!
Mawazo yangu yangelikuwa ndio Kura ya kuwawajibisha viongozi, Tungepiga Chini wote walioko huko juu, halafu tuweke wengine wapya ingesaidia Sana, ili pengine na zamu zetu zikaribiea, kwani kila mtu anahaki ya Kula hiyo keki ya Taifa
Vinginevyo, hao tuliowachagua ni wachumia tumbo Tu, hakuna aliyedhamilia kusaidia nchi na wananchi wake, wanatufanya kuku wa kienyeji bhana, wanatudanganyia punje za mahindi kisha kutuchinja hivihivi!
Piga Chini wabunge woote tuanze upya
Mbunge alikuwa Deophili kunjombe pekee RIP, tutakukumbuka Sana mahalo uliko
Uwezo gani tena mbona ya kawaida sema anawatu nyuma yake
Hivi watoto wa dox unawaambia Nini kuhusu sugu ***** !
Watoto wa uyox pale
Watoto wa ilomba
Watoto wa sai
Watoto wa Soweto
Watoto wa juu kule loleza
Acha utani wewe !
kuwa kama mbayuwayu....za kuambiwa.......
mwenzako yupo chaaatoo kajifungia wewe unapuyanga kariakoo kuisaka corona ......
SUGU mbeya ataacha mwenyewe kwa uzee au mapenzi ya Mungu.
Unakumbuka uwa wanasema kibaya cha jiuza na kizuri Cha tembeza,,,toa msaada nenda zako husingoje shukrani. Mnasaidia watu ili ubunge,,Kuna jamaa alisaidia ivyoivyo then akakosa ubunge mbona alienda kudai Mali zake,,,kutoa ni moyo na sio matangazo.
Unakumbuka uwa wanasema kibaya cha jiuza na kizuri Cha tembeza,,,toa msaada nenda zako husingoje shukrani. Mnasaidia watu ili ubunge,,Kuna jamaa alisaidia ivyoivyo then akakosa ubunge mbona alienda kudai Mali zake,,,kutoa ni moyo na sio matangazo.
Wanambeya wanamuomba tulia agombee wamechoshwa na suguSasa kama anasaidiwa na boss kwa nn mpinzani asionekane si lolote maana yy ni kupinga ata pesa ikitolewa jimboni kwake inaletwa na mtoto wa mteule.
Weka akilini tu sanduku la kura ndo kipenga cha mwisho sio ww apo