Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Kweli Mkuu hawa Chadema wametudanganya sana

Tuwapige chini mwaka huu
Mawazo yangu yangelikuwa ndio Kura ya kuwawajibisha viongozi, Tungepiga Chini wote walioko huko juu, halafu tuweke wengine wapya ingesaidia Sana, ili pengine na zamu zetu zikaribiea, kwani kila mtu anahaki ya Kula hiyo keki ya Taifa

Vinginevyo, hao tuliowachagua ni wachumia tumbo Tu, hakuna aliyedhamilia kusaidia nchi na wananchi wake, wanatufanya kuku wa kienyeji bhana, wanatudanganyia punje za mahindi kisha kutuchinja hivihivi!

Piga Chini wabunge woote tuanze upya
Mbunge alikuwa Deophili kunjombe pekee RIP, tutakukumbuka Sana mahalo uliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama anasaidiwa na boss kwa nn mpinzani asionekane si lolote maana yy ni kupinga ata pesa ikitolewa jimboni kwake inaletwa na mtoto wa mteule.

Weka akilini tu sanduku la kura ndo kipenga cha mwisho sio ww apo
 
Tulia anaombwa na wana mbeya kugombea

Kwaheri sugu
Unakumbuka uwa wanasema kibaya cha jiuza na kizuri Cha tembeza,,,toa msaada nenda zako husingoje shukrani. Mnasaidia watu ili ubunge,,Kuna jamaa alisaidia ivyoivyo then akakosa ubunge mbona alienda kudai Mali zake,,,kutoa ni moyo na sio matangazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom