GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Bangi uliyoivuta leo Mkuu ulihakikisha kuwa ilikuwa ni 'Maalum' kwa matumizi ya Mwanadamu au ni kwa wale Mbwa wa FFU kule Ukonga?Mimi Leo asubuhi nimeongea na Mdee mwenyewe anadai kura yake ni kwa Gwajima.
Wewe mshamba wewe unajua hata Kawe iko upande gani wa Dar?Sisi wapiga kura wa Kawe tumetulia tu nyinyi endeleeni kubwabwaja tu
Haka kachungaji na kaaskofu feki kanaenda kupata laana za Mungu...
Laana za waislamu wa kweli
Laana za wakatoliki wa kweli
Laana za wachaMungu wa kweli....
Nikikumbuka yale mauno kalikokuwa kanamkatikia yule mwanakondoo..... nabaki najiuliza CCM wametuonaje wanaKawe kutuletea haka kahuni?
Mdee ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm akisimama tu yanakimbilia muongozo ili mda uendeCCM wamefanya makusudi ili jimbo lirudi kwa Halima Mdee . Hapo ndio nimeamini kumbe hadi CCM wanamu admire Halima Mdee ππΎππΎππΎππΎππΎ
Playboy hawezi pita kawe
Amekulia mwanaoIla shoga wa wazi ni sawa?
Ili wazitumie helicopter zake kuchana angaSijui siasa za kawe sasa hivi; ila kweli personality ya Gwajima ni questionable sana kwenye electoral politics. Sijui kwa nini hata Anjela Kiziga alirukwa kwenye uteuzi ule, ila all politics is local. Wengi wanadhani kuwa uteule unatoka kule kamati kuu, kumbe unatoka zaidi kwenye kamati za siasa za wilaya na za mikoa labda ijulikane kule juu kuwa kulikuwa vitendo haramu.
Vya mjinga huliwa nanmwelevu. Gwajima kumbe ni nabii wa uongo. Kuungana na CCM maana yake nawe ni shetani kama wao.Na ukumbuke wengi wao aliwakusanya wale nyumbu wake wa kanisani na akawanunulia sale za mbogamboga ili kujaza umati.
Na hao nyumbu wake ni wa kutoka majimbo ya mbali na kawe.
Ili wazitumie helicopter zake kuchana anga