Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

Kauli hiyo sawa ila hili usingesema

Ccm Walikuwa wengi ila wamenuna
Cdm .............wachache ila wamechangamka

Hapo kwenye ...........(Wachache?)

Dah tumepigwa na nabii fake
 
Haka kachungaji na kaaskofu feki kanaenda kupata laana za Mungu...

Laana za waislamu wa kweli
Laana za wakatoliki wa kweli
Laana za wachaMungu wa kweli....

Nikikumbuka yale mauno kalikokuwa kanamkatikia yule mwanakondoo..... nabaki najiuliza CCM wametuonaje wanaKawe kutuletea haka kahuni?
 
Sisi wapiga kura wa Kawe tumetulia tu nyinyi endeleeni kubwabwaja tu
Wewe mshamba wewe unajua hata Kawe iko upande gani wa Dar?
Jikalie zako huko Nanjilinji utulie huku unajilia mapera yako mambo ya mjini waachie wenyewe [emoji23][emoji23]
 
Sijui siasa za kawe sasa hivi; ila kweli personality ya Gwajima ni questionable sana kwenye electoral politics. Sijui kwa nini hata Anjela Kiziga alirukwa kwenye uteuzi ule, ila all politics is local. Wengi wanadhani kuwa uteule unatoka kule kamati kuu, kumbe unatoka zaidi kwenye kamati za siasa za wilaya na za mikoa labda ijulikane kule juu kuwa kulikuwa vitendo haramu.
 
Haka kachungaji na kaaskofu feki kanaenda kupata laana za Mungu...

Laana za waislamu wa kweli
Laana za wakatoliki wa kweli
Laana za wachaMungu wa kweli....

Nikikumbuka yale mauno kalikokuwa kanamkatikia yule mwanakondoo..... nabaki najiuliza CCM wametuonaje wanaKawe kutuletea haka kahuni?

CCM wamefanya makusudi ili jimbo lirudi kwa Halima Mdee . Hapo ndio nimeamini kumbe hadi CCM wanamu admire Halima Mdee 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾
 
Hakuna mtu mwenye akili zilizotimia anaweza mpigia kura beach boy aka gwaji
 
CCM wamefanya makusudi ili jimbo lirudi kwa Halima Mdee . Hapo ndio nimeamini kumbe hadi CCM wanamu admire Halima Mdee 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾
Mdee ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm akisimama tu yanakimbilia muongozo ili mda uende
 
Sijui siasa za kawe sasa hivi; ila kweli personality ya Gwajima ni questionable sana kwenye electoral politics. Sijui kwa nini hata Anjela Kiziga alirukwa kwenye uteuzi ule, ila all politics is local. Wengi wanadhani kuwa uteule unatoka kule kamati kuu, kumbe unatoka zaidi kwenye kamati za siasa za wilaya na za mikoa labda ijulikane kule juu kuwa kulikuwa vitendo haramu.
Ili wazitumie helicopter zake kuchana anga
 
Na ukumbuke wengi wao aliwakusanya wale nyumbu wake wa kanisani na akawanunulia sale za mbogamboga ili kujaza umati.

Na hao nyumbu wake ni wa kutoka majimbo ya mbali na kawe.
Vya mjinga huliwa nanmwelevu. Gwajima kumbe ni nabii wa uongo. Kuungana na CCM maana yake nawe ni shetani kama wao.
 
Back
Top Bottom