sure subiri uoneLabda mungu wa ukabila na ngono
Pascal Mayalla alikuwepo kwenye msafars wa CCM?!
Mkuu GENTAMYCINE umetupa yale uliyoyasikia tupe na mtazamo wako ukoje?
Hivi sijui kwa nini Mch anahangaika kuwa Mbunge wakati jukumu hilo tu la uchungaji ni shughuli pevu?
Kwani mtumishi wewe siyo mpumbavu?!Umeniuliza Swali la 'Kipumbavu' kweli kweli!
Kwani mtumishi wewe siyo mpumbavu?!
Mitimingi hajakuacha salama!Niliurithi kwa aliyekuzaa.
πππππππππ unaandika hivyo ili kujisafisha, Mdee amepoteza ajira yake ya Ubunge.Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata Mwenyekiti wake na Chama chake kitampa Pesa ila Sisi tutakachofanya tutamlia Pesa zake, tutamsifikia Kinafiki ili kumjaza Upepo ajiaminishe na tarehe 28 Oktoba 2020 kama Kawaida yetu wana CCM wa Kawe tutamuonyesha kuwa ndiyo Mabingwa wa Kusaliti na Kupiga Kura za Maruhani ( za Kukomoa ) tu"
Kauli muhimu niliyoisikia kutoka katika Msafara wa Mdee ni hii nainukuu hapa chini:
"Tunachojua tu ni kwamba Mdee ni bonge la Mbunge ila anakomolewa na kuhujumiwa sana tu na Serikali Kuu ili aonekane hafai na CCM waweze Kutumia huo mwanya na Kumtoa. Kama kuna Mtu ambaye CHADEMA tulikuwa tunamuogopa Kawe kutoka CCM alikuwa ni Yule Kijana wao Furaha kwakuwa Kwanza tulikuwa hatumjui vyema ila wana CCM Kawe ndiyo alikuwa Chaguo lao Kubwa.
Kwa kutuwekea huyu Mchungaji, Muhuni na Mnafiki CHADEMA tunajua tunashinda Asubuhi na tayari kuna Wanachama wengi tu wa CCM wametuambia kuwa kwa sasa watajifanya kuwa karibu na Mtu Wao ila Kura zao kwa 85% watampigia Mdee"
Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Mitimingi hajakuacha salama!
Wewe sasa ni mjane!Ndiyo aliyekuwa 'akikutambalizia' nao au?
Halafu hamuoni haya kufanya figisu kuwapitisha wagombea ubunge na udiwani wengine bila kupingwa Dunia inawashangaa ladha ya ushindi kuwe na ushindani sijui shule mnaendaga kusomea ujingaTukutane baada ya 28/10/2020
Thubutu.Mtajitekenya sana this time.
Jimbo la Kawe linarudi CCM
Wewe sasa ni mjane!
Kuna watu hapa jukwaani mtu unatamani kuwafahamu in person! GENTAMICINE, hupindishagi, unaandika unachoamini, unamshinda kwa mbali pasco na John Baptist ambao, asilimia 99 ni full mapambio tu, 1% wakilewa wanakosoa chama chao!
Pili ambayo siyo muhimu sana kwa hapa, asante sana Wewe na kamati yako ya roho mbaya kule inakoendaga pantoni!
Umeona uandike mawazo yako kisha useme umeyasikia kwa watu.ππKauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini:
"Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata Mwenyekiti wake na Chama chake kitampa Pesa ila Sisi tutakachofanya tutamlia Pesa zake, tutamsifikia Kinafiki ili kumjaza Upepo ajiaminishe na tarehe 28 Oktoba 2020 kama Kawaida yetu wana CCM wa Kawe tutamuonyesha kuwa ndiyo Mabingwa wa Kusaliti na Kupiga Kura za Maruhani ( za Kukomoa ) tu"
Kauli muhimu niliyoisikia kutoka katika Msafara wa Mdee ni hii nainukuu hapa chini:
"Tunachojua tu ni kwamba Mdee ni bonge la Mbunge ila anakomolewa na kuhujumiwa sana tu na Serikali Kuu ili aonekane hafai na CCM waweze Kutumia huo mwanya na Kumtoa. Kama kuna Mtu ambaye CHADEMA tulikuwa tunamuogopa Kawe kutoka CCM alikuwa ni Yule Kijana wao Furaha kwakuwa Kwanza tulikuwa hatumjui vyema ila wana CCM Kawe ndiyo alikuwa Chaguo lao Kubwa.
Kwa kutuwekea huyu Mchungaji, Muhuni na Mnafiki CHADEMA tunajua tunashinda Asubuhi na tayari kuna Wanachama wengi tu wa CCM wametuambia kuwa kwa sasa watajifanya kuwa karibu na Mtu Wao ila Kura zao kwa 85% watampigia Mdee"
Msafara wa CCM ulikuwa ni mkubwa, ila Watu wake walikuwa wakishangiia huku Wamenuna, lakini wa CHADEMA walikuwa ni wachangamfu sana.
Umeona uandike mawazo yako kisha useme umeyasikia kwa watu.ππ