Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke, naahirisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

Kwa nilichokiona usiku huu kwa huyu mwanamke, naahirisha rasmi ndoa yangu ya Disemba 2015

Mzee kila kitu kina vituko vyake,

Kuna vyakula vina sumu, utaacha kula vyote?

Kwenye usafiri kuna ajali, utaacha kusafiri?

Wanawake malaya wapo tangu enzi za Nuhu huko, na wengine wamebahatika kupata kazi nzuri ila wakiwashwa tu yoyote aliyekaribu atapewa akune.

Sasa hawa wasikuumize kichwa, walikuwepo wapo na watakuja wengi tu. Muombe Mungu akupe kilicho bora
 

  • "Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?​




cc: Watu8
 
Last edited by a moderator:
Mkuu GENTA, kwanza hongera, kwa sababu japo sii kweli, lakini una kipaji cha kutunga story nzuri, and make believe it is true story, tatizo ni dogo tuu, umeadd too much color hadi story yako inakuwa too good to be true!.

  • Kama mbabu dereva taxi alimuacha mkrwe kwa ajili ya nyumba ndogo, hakuna logic kwa nini kila mtu aishi kwake!.
  • Wataalamu wa kutengeneza watu wafike na kuwatia mikononi huwa hawajitapi kuwa wamewatengeneza watu wao, bali hupose ili jamii iwaone jinsi wanavyopendwa!.
  • Kama mdada wa tiaraei alikuwa anaishi na beki tatu, na huyo beki tatu ana uwezo wa kumzuia babu asiingie ndani, kwa nini abanduliwe nje ya nyumba tena inje ya gari?!.
  • Kama hiyo gari ndio iliyomleta, kwa nini hiyo ice ceram cone aje ailie nje ya nyumba yake, wasilishane huko walikotoka na kumalizana huko huko?.
  • Tangu lini gari ikanesa nesa kisa tuu kuna mtu anakula icecream?.
  • Kwa wenye magari wengi, hiyo gari tuu ni chumba tosha, kwa nini mtu atoke chumbani kwenda kulala nje ya chumba, tena nje ya nyumbani kwake?!.
  • Uzoefu wa watumia gari kama chumba, huenda kupaki mahali muafaka penye faragha stahiki, ndipo wabadili matumizi ya gari kuigeuza chumba, na kiti kugeuza kitanda, iweje mtu aje nje ya nyumba yake ndipo abadili matumizi hayo?.
  • Gari uone wewe, sauti ya babu akiongea na beki tatu uisikie wewe, sauti ya mdada akimzuga babu uisike wewe, kwani wewe ni omnipresent?.
Kijana una kipaji!, ondoa makasa madogo madogo ya logical chronology, utakuwa mtungaji mzuri, na watungaji wote wazuri, walianzia hadhithi fupi fupi kama hizi, hadi wakaja kuandika vitabu!, humu jf kumbe tuna kina Jaffrey Archer wetu, tuna Robert Ladlum wetu, tuna Fredrick Forthy wetu etc!.

Anyway, asante kwa hadith nzuri!.
Pasco
 

  • "Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?​




Jamaa alikuwa ameweka akili yake yote kama yupo kwenye fainali ya kombe la dunia
 
Huhitaji kuquote mada husika ili ucomment labda kama ungekua unamjibu mchangia mada mwingine. Sasa umequote uzi wote ili uandike mstari mmoja smh

Watu kama hawa wanakera sana kwa sisi tunaotumia simu aisee!
 
Papuchi haina makombo, dawa yake maji tu tena ya chooni halafu inakua mpyaa.
Mkeo ni mke wako usiku tu ukiwa nae kitandani. hata huyu girl friend wako hajawahi kukupa mvunguni tu kwa sababu umetangaza ndoa lakini wenzio walio anza nae wanapewa sana.
Ukimchunguza demu sana itakula kwako

Kwikwikwikwikwikwikwikwi 😀 moto wa petroli unazima kwa petroli mkuu? Huyu jamaa hata kama aliitunga story yake kwa kutaka tu maoni ya wana JF, hataoa tena kabisa kwa haya maneno yako. 😀
 
Ww utakuwa huna akili, kwani ilo ni jambo geni?kama huna mungu hayo tegemea tu, ushauri ni kuokoka na kuwa hofu ya mungu
 
Back
Top Bottom