20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Story nzuri, ila kuna baadhi ya sehem umekosea kidgo.
mkuu umesikia anapigwa kitu hadi anajamba na kutoa harufu ya mavi walikuwa dirishani kwako au mkuu wew ni vampire au wolf kunasa vitu vya mbali.
Huyu dada kamwambia mzee wake kuwa simu imezima chaji na hajarudi home atakuwa amechaji wapi hapa LOGIC UMEMKATISHA HUYO BINTI, but mazungumzo ya simu umeyasikia ukiwa chumbani kwako walikuwa wanaongea kwa sauti sana ?