hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Konzi apigwe mwingine, nundu utoke wewe...!!!
"Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?
Huhitaji kuquote mada husika ili ucomment labda kama ungekua unamjibu mchangia mada mwingine. Sasa umequote uzi wote ili uandike mstari mmoja smh
Huhitaji kuquote mada husika ili ucomment labda kama ungekua unamjibu mchangia mada mwingine. Sasa umequote uzi wote ili uandike mstari mmoja smh
Babu tunaelekea kupata Lara1 wa kiume. . . . . .a.k.a popomaMi nimemkubali mzee wa intelijensia kwa kuweza kujua mdada aliwasha simu na kumwambia jamaa waonane kesho.... demu akiwa kwake.... zee la itifaki lina macho na masikio yaliyotukuka.
Papuchi haina makombo, dawa yake maji tu tena ya chooni halafu inakua mpyaa.
Mkeo ni mke wako usiku tu ukiwa nae kitandani. hata huyu girl friend wako hajawahi kukupa mvunguni tu kwa sababu umetangaza ndoa lakini wenzio walio anza nae wanapewa sana.
Ukimchunguza demu sana itakula kwako
uzi wako mdau ni wa kichochezi sana.....yaani namuangalia wife hapa.....natamani nimuamshe kwa kofi kali la kelb.....