Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umejielekeza kwenye positive na ushauri kwa wanawake watulie Tu , ukishazaa 80% wanaume wanaona wewe ni looserWatoto wa afu mbili mnaojishaua kuwapa hovyo hao wanaume tena mpk waume za watu naona ujumbe mmeusoma vzr hapa..utateseka na mtoto wako mwenyewe..jitulize upate mtu wa uhakika wa kuishi nae..au la zaa jipange kulea mwenyewe...
Ugezubaa angekuroga uwe zoba unalea mitoto yake na siku akikuomba pesa kwaajiii ya mitoto yake ukisema huna anakuchukia kama ulimzalisha weweNimekuja kushtukia ina watoto 2
Hawao wanaume wanatudhalilisha sie wanaume wa ukweliNi huko kwenu na hapa jf
Mabint wa mamaang Mkubwa mmoja alipata mimba akiwa 4m 4 akazaa na bahat mbaya alipata mimba ya kijana mwanafunz mwenzie na ameolewa mwanae akiwa na mwaka tu na Wana ndoa ya miak 5 na mumew na watoto wengine wawil wanapendana balaa
Mwingine aliolewa akazaa akaachika now kaolewa na mwanaume Hana mtoto na hajamzalia bado na wanapendana mfano hakuna
Nyie mateeegers ndio mnaongea hayo ila wanaume kamili wanaoa safi tu alafu wanazaa nao pia pole sana
At least umejitokeza mkomboziSio jambo jema kuhukumu kana kwamba wewe ni mkamilifu
Ngoja awatetee kidogoAt least umejitokeza mkombozi
Shida sio mwananke mwenye mtoto...Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili halafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani halafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo wapi, anakwambia kashaoa Hivyo hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani halafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye mwenyewe haamini. Kataa single mother kwa usalama wako
Hii 2000 itasingiziwa mengi humu fake ID ndio zinawapa ujasiri wa kikoloWaache hawa watoto wa 2000 hawana busara .uzuri wataoa watazaa mtoto mmoja au wawili watakufa tuone hizo familia zao zitaishije
2-0, dakika ya 24 tu, maisha ni mitihaniNimekuja kushtukia ina watoto 2
Yaani unawatakia mafa ikio katika pirika pirrika zao na utafutaji ukimaanisha waendelee kutunasa sie wanaume?Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.
Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.
Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
uzoefu unaniambia ukiona malalamiko kama haya mara nyingi huyo mwanamke ndo shida hajasimama ktk nafasi yake, hatimizi majukumu yake sawsaw, bado hajitambui amepwayaYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili halafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani halafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo wapi, anakwambia kashaoa Hivyo hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani halafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye mwenyewe haamini. Kataa single mother kwa usalama wako
Ugane. Nilishakuwa kwenye ndoa na nikawa na watoto. Nilihitaji mwanamke mwenye uwezo wa kuwatunza. Nilifaulu.Kipi kilichokufanya uoe single maza?
Mbona unaleta mambo ya wajane hapa? Tulikubaliana kuoa wajane ili mradi tu uwe umejiridhisha..hapa tunazungumzia madungaembe ambayo yamechanua miguu kwa starehe zao na wanaume wa ndoto baada ya kuachwa unataka waonewe huruma?acheni kujidai, maana maisha hayana fomula hakuna cha ushauri mzuri wala nini,lolote laweza tokea katika maisha
kuna dada mmoja jiran,kaolewa na kijana mwenzanke baada ya mwaka kapata mtoto,mtoto akiwa na mwaka na nusu mwanaume kafariki kamuacha na mimba ya mwezi tumboni, muda huo huyo binti ana miaka 24 tu.
Shida wakiambiwa waje kwenye vikao wanajifanya wajuaji.Baba yako yeye anasemaje kuhusu kuishi na kulea mke wa mtu na watoto wake maana sisi tulisha sema hamtaki kusikia?
Bora wewe....umemtaja sister angu..Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.
Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.
Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.