Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Shida ya Watz hatujali thamani ya Binadamu.

Single maza ni Victim, anatakiwa kusaidiwa na sio kukashifiwa.
Anatakiwa asaidiwe kulea watoto, kusomesha watoto na kupata kazi/Mtaji.

Ila sio kuolewa tena na kijana fresh kabisa hajawai kukaa na mwanamke ndani hata mwaka.
 
Hivi unaakili timamu unawezaje kuweka takataka kama hiyo ndani
Wanaume tunafeli sana kwenye haya mambo. Wanawake wananavyo tubagua wakati hatuna kitu yaani vetting ya maana lakini sie tunawaonea huruma kenge hawa.

Wee bwana kidume no dating single maza, sijui broke lady wote hao piga sepa. Sio wakuwaonea huruma. Sie tukiwa broke na tuna vibamia wanatukwepa kama ukoma.
Usimuhurumie mwanamke wewe mburuze tuu
 
Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.

Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.

Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
Tena wabarikiwe haswaa.
 
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Hauna hela bana!! Yani buku7 umeombwa umekuja kulia lia huku? Nyie vijana wa2000 ni shida sana kila kitu ukiambiwa na mwanamke unakuja kusimulia, saidia uyo manzi kwa icho kidogo alicho omba!! Mimi nipo na single lady na hapa anadai tv inches55😂😂😂 wewe buku7 umekuja kutusimulia
 
Wanaume tunafeli sana kwenye haya mambo. Wanawake wananavyo tubagua wakati hatuna kitu yaani vetting ya maana lakini sie tunawaonea huruma kenge hawa.

Wee bwana kidume no dating single maza, sijui broke lady wote hao piga sepa. Sio wakuwaonea huruma. Sie tukiwa broke na tuna vibamia wanatukwepa kama ukoma.
Usimuhurumie mwanamke wewe mburuze tuu
😂😂😂😂😂 daah umefanya nicheke mkuu
 
Single mothers wana shida sana kwenye hii Dunia.

Wanaowapa mimba wanawakataa halafu bado lawama zinarudi kwa single mothers tena.

Wanawake wenye watoto popote mlipo nawatakia mafanikio kwenye pilika pilika zenu na utaftaji wenu.
Wengi wao wanatelekezwa kwasababu ni wasumbufu.... Ni wachache sana wanakuwa watulivu....
 
Hivi haya makejeli,dharau na maneno yasiyofaa mnayoandikaga huwa mnahisi mnaishi kwenye ulimwengu wa peke yenu au ni hapahapa duniani Ambapo mna kina dada,shangazi,mama wadogo na pengine hata watoto wenu wa kike ambao nao ni wahanga wa hicho mnachokiita singo madha?
Tunaandika kama njia ya kukemia kuzaazaa hovyo, wewe kama ni mdada ni singo maza kama ni mshkaji basi jitathmini acha kuwa na huruma za kijinga.

Kupitia SPANA hizi wanawake wataBANA MAPAJA na kupunguza shida za kwenye jamii hivi sasa. Maana chanzo chote cha shida kwenye jamii ni uhuru wa mwanamke kufunguafungua mapaja hovyo.

Jamii imechafuka baada ya WATU KUACHA MAMBO YAJIENDE HOVYOHOVYO sasa mambo yamekorokega kumezuka kizazi kimejaa laana kizazi cha watoto wasio na BABA ndo kinaongoza kwa tabia za kichokochoko hakuna namna tunapiga SPANA, sisi kazi yetu ni kufanya REDEMPTION!!!!

Hao mama zako wadogo ,mwanao mashangazi, dada zako kama ni masingo maza wala usihofu wakatae wakimbie, usikubali kukaa na wajinga wajinga watakuambukiza akili za kipumbavu na kizinzi.
 
Mwisho hua mnasema nilimuoa sababu nilimuonea huruma ila leo kachukuliwa na wanae mjini mimi nimebakia mwenyewe sina hata mtu wa kunipikia na wale watoto nimewasomesha kwa pesa zangu lakini mama yao akawaambia wamesomeshwa na baba yao aliewakimbia bila kuwahudumia miaka yote nimewahudumia aaah ngoja kwanza nilie kwanza kidogo
Hiyo ni payback ya uzezeta lazima dunia ikuadhibu kwa kuwa mjinga.

Only the strong survive, the weak must perish/ be punished!!!!

Learn or perish!!!!!
 
Mtoto wa kike unampa tahadhari na maonyo yote, Akiamua kwenda kinyume na akawa single mother, it's up to her. Ni juu yake.

Mimi sitahusika tena.

Ukishapewa tahadhari halafu ukaenda kinyume, litakalo kukuta likukute. Utakomaa kivyako.
Na hivi ndio inavyotakiwa. Umeshaonywa ukienda tofauti pambana na litakalo kukuta
 
Hiyo ni payback ya uzezeta lazima dunia ikuadhibu kwa kuwa mjinga.

Only the strong survive, the weak must perish/ be punished!!!!

Learn or perish!!!!!
Kwa hio hapa unawasupport single mother?
 
Kataa singele maza usioe chezea lala mbele
Labda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.

Nilioa single mother miaka 18 iliyopita. Hadi leo sijanusa harufu ya usaliti wala ubaguzi kwa watoto wetu.

Nimewalea kwa upendo na msimamo na sasa wanajitegemea. Wananipa support kadri ya uwezo wao. Hunisaidia michango ya shule kwa wadogo zao hata wasio wa mama mmoja. Kifupi wanashirikiana kama wa mama mmoja, kuanzia kaka yao asiye mama mmoja na wao hadi wadogo zao wa mama na wasio wa mama mmoja.

Nina familia yenye umoja, sijawahi kujuta kumwoa single mother. Ananijali na kunipenda. Anaheshimu mali zetu na kuzitumia vizuri. Ni mpambanaji kusaka riziki kadri ya mipango yetu.

Nampenda sana. Long live my single mom.
 
Mimi nawaonea huruma hawa wadada wengi wao walidanganywa na sisi wazala harafu baadae tunawatelekeza na watoto wao baadae wanakutana na Wananchi na Sera zao mpya na kuwaponda kwa kuwaandikia nyuzi..
 
Labda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.

Nilioa single mother miaka 18 iliyopita. Hadi leo sijanusa harufu ya usaliti wala ubaguzi kwa watoto wetu.

Nimewalea kwa upendo na msimamo na sasa wanajitegemea. Wananipa support kadri ya uwezo wao. Hunisaidia michango ya shule kwa wadogo zao hata wasio wa mama mmoja. Kifupi wanashirikiana kama wa mama mmoja, kuanzia kaka yao asiye mama mmoja na wao hadi wadogo zao wa mama na wasio wa mama mmoja.

Nina familia yenye umoja, sijawahi kujuta kumwoa single mother. Ananijali na kunipenda. Anaheshimu mali zetu na kuzitumia vizuri. Ni mpambanaji kusaka riziki kadri ya mipango yetu.

Nampenda sana. Long live my single mom.
Sogeza vitafunio
20240124_142909.jpg
 
Hizi nyuzi Kuna wanaume wenzenu huenda wanajisikia vibaya sana kwani wamezalidha mabint za watu wengi tu na bahat nzuri wamepata watoto wa kike

Kakazangu punguzeni ukali wa maneno na nyinyi mtakuwa na watoto wa kike hamuwez kujua watapitia nn na watafanya makosa gani
Ni kheri aliyezaa kuliko anaetoa mimba mnaona ni mabint kumbe ni mama wa marehemu
PIGA SPANA, hakuna kuwa na huruma na wajinga wajinga.

Mwanaume huruhusiwi kuwa mdhaifu, ukiwa na mtoto wa kike mpe miongozo akianguka na kuacha kufata miongozo hilo sio kosa lako wewe ulishafanya sehemu yako ni zamu ya dunia/ nature kumpa anachostaili.

Ukizaa hovyo mwanamke tambua hilo ni lako na utadharaulika sana na walimwengu tutakubagaza na kukuchakaza na kukutumia maana wewe hukujua thamani yako kisha ubane MAPAJA kuepuka USINGO MAZA. Umelikoroga huna budi kulinywa.Ukitaka usibaguliwe usidharauliwe,jisucrifice ubane MAPAJA YAKO.

World wide hata huko porini hakuna kiumbe kinaanza mechi na magoli mkononi hakuna hiyo ni kanuni ya kidunia. Ukiivunja utapata adhabu. Na adhabu moja wapo ni hizi SPANA dunia itakupiga spana up and down left, right and center lazima ujute kuzaliwa😁😁😁😁.

#Spana kwa MASINGO MAZA ni takwa la kikanuni za kidunia🤗
 
Yani mpira unaanza tu tena first leg et kwa aggregate ya mbili bila mim siwezi..
 
Alikuwa jasiri🙌🙌🙌kwamba lete hela nitume nyumbani 💪💪💪dah strong woman
Bora angetumia maarifa mengine jukumu la kulea hao watoto sio kabisa lako
Alishamzarau kiasi kwamba alimuona huyu jamaa ni wa hovyo sana,mwanamke akishakudharau atakwambia chochote kile hata kukuita majina ya matusi, huyu boya wala hashtuki.

Hivi wanaume wenzako wamepiga mpaka wakazalisha na wakamuacha ila wewe unapata wapi ujasiri wa kuweka ndani kama sio ukilaza kiwango cha PhD.
 
Back
Top Bottom