Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Labda na mimi ni miongoni mwa wanaume wajinga.

Nilioa single mother miaka 18 iliyopita. Hadi leo sijanusa harufu ya usaliti wala ubaguzi kwa watoto wetu.

Nimewalea kwa upendo na msimamo na sasa wanajitegemea. Wananipa support kadri ya uwezo wao. Hunisaidia michango ya shule kwa wadogo zao hata wasio wa mama mmoja. Kifupi wanashirikiana kama wa mama mmoja, kuanzia kaka yao asiye mama mmoja na wao hadi wadogo zao wa mama na wasio wa mama mmoja.

Nina familia yenye umoja, sijawahi kujuta kumwoa single mother. Ananijali na kunipenda. Anaheshimu mali zetu na kuzitumia vizuri. Ni mpambanaji kusaka riziki kadri ya mipango yetu.

Nampenda sana. Long live my single mom.
Kipi kilichokufanya uoe single maza?
 
Mimi nawaonea huruma hawa wadada wengi wao walidanganywa na sisi wazala harafu baadae tunawatelekeza na watoto wao baadae wanakutana na Wananchi na Sera zao mpya na kuwaponda kwa kuwaandikia nyuzi..
Uu ndo ujanja sasa unawaonea huruma mtandaoni, lkn kuoa hauoi.

Haingii akilini, wewe ulikua unajinyima starehe for ure future, Yaani uko na Elimu nzuri, Pesa, Biashara nk. Hivi vyote ni matokeo ya discipline then uje uoe mwanamke ambae alishindwa kusisitiza matumizi ya condomu tu wakati anajua fika mahusiano yake sio rasmi.

Huu ni uzembe tosha, Lazima umgharimu.

Chuoni nilikua na kademu flani kakichaga, Kalikua hakatombeki bila mdomu 😀 hata kama ni saa nane za usiku utaenda kwa majirani uombe ndomu ndo ule mzigo

Na ukimaliza lazima akuvue, ahakikishe haijapasuka 😀, tulimaliza chuoni tukatengana kutokana na kutafuta maisha akapata mshkaji wakavutana wanaishi wote(wanafanya kazi wote shemu moja)

Ni mwaka wa 2 sasa hivi lakini demu bado hajazaa, Anadai hawezi kuzaa na mwanaume ambae hajajitambulisha kwao.

Mtoto wa kike, kuzaa na mtu hata kwenu hajajitambulisha, ni dhambi kubwa unajifanyia, na ikitokea pambana kulea watoto wako, aacha kutafuta huruma kwa jamii ambayo ulikiuka miiko yao
 
Sure bro....hawa unatakiwa uende nao kitaliban style
Mwanamke ukiishiwa pesa , hua Hana excuse zaidi ya kukuacha jumla, hivo hata kama unazo tumia kwa mipaka na tahadhari Sana ili akija kuondoka anaondoka na uchi wake , wewe unabaki na pesa zako hata kama ni ndogo lakini hakikisha mwanamke haifaidi pesa yako kupita kiasi , unampa kwa kutishiatishia , ukijimwaga utaachwa vibaya sana
 
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Kwaiyo kaka umeacha ndara
 
Ukweli mtupu. Hawa ukiishiwa wanakubwaga vibaya sana.
 
PIGA SPANA, hakuna kuwa na huruma na wajinga wajinga.

Mwanaume huruhusiwi kuwa mdhaifu, ukiwa na mtoto wa kike mpe miongozo akianguka na kuacha kufata miongozo hilo sio kosa lako wewe ulishafanya sehemu yako ni zamu ya dunia/ nature kumpa anachostaili.

Ukizaa hovyo mwanamke tambua hilo ni lako na utadharaulika sana na walimwengu tutakubagaza na kukuchakaza na kukutumia maana wewe hukujua thamani yako kisha ubane MAPAJA kuepuka USINGO MAZA. Umelikoroga huna budi kulinywa.Ukitaka usibaguliwe usidharauliwe,jisucrifice ubane MAPAJA YAKO.

World wide hata huko porini hakuna kiumbe kinaanza mechi na magoli mkononi hakuna hiyo ni kanuni ya kidunia. Ukiivunja utapata adhabu. Na adhabu moja wapo ni hizi SPANA dunia itakupiga spana up and down left, right and center lazima ujute kuzaliwa😁😁😁😁.

#Spana kwa MASINGO MAZA ni takwa la kikanuni za kidunia🤗
Ni huko kwenu na hapa jf
Mabint wa mamaang Mkubwa mmoja alipata mimba akiwa 4m 4 akazaa na bahat mbaya alipata mimba ya kijana mwanafunz mwenzie na ameolewa mwanae akiwa na mwaka tu na Wana ndoa ya miak 5 na mumew na watoto wengine wawil wanapendana balaa

Mwingine aliolewa akazaa akaachika now kaolewa na mwanaume Hana mtoto na hajamzalia bado na wanapendana mfano hakuna
Nyie mateeegers ndio mnaongea hayo ila wanaume kamili wanaoa safi tu alafu wanazaa nao pia pole sana
 
Jaribu kukua basi,kama huwezi hudumia mwanamke piga nyeto,acha kusumbua watu kwani huyo singo maza alijizalisha.

Wanawake wanamapungufu yao,nasi pia tunayo mengi tu tukianza na tamaa ya ngono ndio chanzo kikubwa cha sisi wanaume kuwafuata..tukipewa yukadunga mimba safari imewadia.

All in all Mungu awape kusimama kiuchumi single maza wahdhumie watoto wao bila kudharauriwa na mazazi kama wewe mleta uzii
 
Hadu
 
Ni huko kwenu na hapa jf
Mabint wa mamaang Mkubwa mmoja alipata mimba akiwa 4m 4 akazaa na bahat mbaya alipata mimba ya kijana mwanafunz mwenzie na ameolewa mwanae akiwa na mwaka tu na Wana ndoa ya miak 5 na mumew na watoto wengine wawil wanapendana balaa

Mwingine aliolewa akazaa akaachika now kaolewa na mwanaume Hana mtoto na hajamzalia bado na wanapendana mfano hakuna
Nyie mateeegers ndio mnaongea hayo ila wanaume kamili wanaoa safi tu alafu wanazaa nao pia pole sana
Usingo maza ni chata yaani ni kama kovu la kuungua na moto, hata ufanyaje utabaki SINGO MAZA.

Huyo boya aliyeoa huyo mpuuzi takataka SINGO MAZA ipo siku atajutia uamuzi wake, nature huwa haina upendeleo inagawa DOZI(ADHABU) wastani kwa idadi.

Mwanaume yoyote anayeoa singo maza ni mlemavu wa akili.Ni aina ya wanaume dhaifu na wanastaili kutendwa ipasavyo. Hawa huwa wanajiua baadae kwa kupigwa matukio na hizi takataka walizo amua kuweka ndani.

Unavyosema akapata mimba unasound kama vile aliipata akiwa usingizini wakati mwenzako alichanua miguu kama wale acrobatics kisha ilovyokuwa inachomoka akawa airudishia kwa haraka ili utamu usikate.

Unachopaswa kutambua ni kuwa nobody gives shit about how umekuwa SINGO MAZA.Rather than in one way or the other umehusika kwa asilimia 100 kuwa SINGO MAZA wewe mwenyewe.
 
We jamaa umefukuza mali ya maana sana sasa tafuta huyo umtakae ambae ni malaika alitoa mimba kama tisa
 
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe tena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Kabla hujafa usimalize maneno. Ipo siku mkeo anaweza kuwa single mother akiwa na wanao wakati huo wewe huenda haupo Duniani au hauna uwezo wa kuwahudumia. Mwanamke atafanya kila awezalo kuhakikisha mwanae anapata mahitaji yake ya siku bila kujalisha inamgharimu kiasi gani. Binafsi sijaoa single mother ila popote walipo wajue nawaheshimu sana bila kujali nini kilitokea mpaka wakajikuta single.
Tuwatanie ila tusiwaguse viumbe (watoto) wa Mungu.
 
Umeandika vizur mno hakuna ajuaye kesho yake
 
Hauna hela bana!! Yani buku7 umeombwa umekuja kulia lia huku? Nyie vijana wa2000 ni shida sana kila kitu ukiambiwa na mwanamke unakuja kusimulia, saidia uyo manzi kwa icho kidogo alicho omba!! Mimi nipo na single lady na hapa anadai tv inches55😂😂😂 wewe buku7 umekuja kutusimulia
Mbona wewe umesimulia anadau Tv INchi 55?
 
Kabla hujafa usimalize maneno. Ipo siku mkeo anaweza kuwa single mother akiwa na wanao wakati huo wewe huenda haupo Duniani au hauna uwezo wa kuwahudumia. Mwanamke atafanya kila awezalo kuhakikisha mwanae anapata mahitaji yake ya siku bila kujalisha inamgharimu kiasi gani. Binafsi sijaoa single mother ila popote walipo wajue nawaheshimu sana bila kujali nini kilitokea mpaka wakajikuta single.
Tuwatanie ila tusiwaguse viumbe (watoto) wa Mungu.
Lakini wengine kweli ni pasua kichwa. Wamepata walichotafuta
 
We jamaa umefukuza mali ya maana sana sasa tafuta huyo umtakae ambae ni malaika alitoa mimba kama tisa
Hahaha...bora aliyetoa mimba ila sio single maza.

Maana kulea mimba mpaka ikakua maana yake alikuwa na Bondi kubwa na huyo aliyemzalisha.

Wakikutana lazima wapige game tena bila kujali kwamba wewe ndio umemsaidia san kuliko huyo Mbwa wake.
 
Back
Top Bottom