Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mtoto wa kike unampa tahadhari na maonyo yote, Akiamua kwenda kinyume na akawa single mother, it's up to her. Ni juu yake.unaandika kana kwamba huna kizazi , tena bora ukose kizazi kuliko uje upate mtoto wa kike aje kuwa zaidi ya single maza
Mimi sitahusika tena.
Ukishapewa tahadhari halafu ukaenda kinyume, litakalo kukuta likukute. Utakomaa kivyako.