Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Wazazi wanaweza kuridhia ila kishingo upandeHapana mm ni mdogo kwake huyo wa 30 ........
Kuwaeleza wazazi wake kuwa mwanaume so lazima awe wa kabila lake, tuu mkizidi kuangalia Hilo hamuoni binti atazeeka nyumbn? Ama kuja kuzalishwa ?
Wampatie baraka zote akaanze maisha....... na familia yake maake jamaa aliye naye sasa anaeleweka
Huyu dogo sisemi sana i wish good luck to her.... i advised her a lot, counseling za kutosha..... so yeah!
Hio 30umri umeenda mno
Just be a good person to her at least she has someone who she relays on when she's at her lowest.