Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Machozi ya huyo mwanamke na mtoto wanavyo teseka na kupewa kejeli dharau ni laana.. sometimes hatufanikiwi kwasabab tuna waliza wasio na hatia.

Baya likimfanya mtu akalia linatabia ya kurudi na likirudi linarudi vibaya na hyo Ndio KARMA
Mwisho hua mnasema nilimuoa sababu nilimuonea huruma ila leo kachukuliwa na wanae mjini mimi nimebakia mwenyewe sina hata mtu wa kunipikia na wale watoto nimewasomesha kwa pesa zangu lakini mama yao akawaambia wamesomeshwa na baba yao aliewakimbia bila kuwahudumia miaka yote nimewahudumia aaah ngoja kwanza nilie kwanza kidogo
 
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Ungejarb kwanz kumuambia huna iyo ela ya kutuma kwa watt wake af uone ange react vp
 
Kapenda adi haoni future
Ana miaka mingapi kwanza huyo dogo?
Miaka 21....

Nikamshauri fanya kazi maake huna mpango na chuo na bahati nzuri dogo alikuwa na kazi.... japo ya kawaida lakini alikuwa hakosi kula na kuvaa.....

Nikamwambia ukifka hapo 25yr basi Anza kueka mipango ya mahusiano seriously!

Lakini sisi wanaume kukupiga mimba na kukuacha sekunde na kukupamba mwanzoni tuu..... siku tumeona the best ndo basi tena....

Kuna dada mwingine akaniambia naye mwaka huu nisipoelewa nazaa

Maswali yangu upo tyr kuwa single maza?

Je huoni madhara ya kuzaa na wanaume tofaut tofaut pengine italeta athari na mahusiano hasi kwa wanao ?

Jee vipi kuhusu huduma za hao watoto?

Na utazaa na rika gani maake nikikuangalia unakimbilia third floor 30 kama kijana utawezana nao kama sisi sasa ? Kama mume wa mtu unajua changamoto za kuwa na mume wa mtu ? Upo tyr ku control hisia zako na maamuzi utakayopokea kutoka kwa huyu someone's husband?

nimekuja gundua ukiweza kutengeneza darasa la mahusiano, ndoa na uchumba plus saikolojia basi wateja wengi ni wanawake......

Yaaan anaweza kukuambia hata udhaifu wa mumewe mpaka unaogopa! Ni hayo tuu...

Dogo akijichanganya usingle mom unamhusu wallah Mungu amsaidie narudia Tena!
 
Hivi unaakili timamu unawezaje kuweka takataka kama hiyo ndani
Usitumie maneno makali hivyo....
Umaskini ndo unatusumbua tu na kutokuwa na uhakika wa maisha - hili ni janga la vijana wa sasa.
Wanaume wa zamani waliweka mpaka msemo: Kitanda hakizai haramu au kuchapiwa ni siri ya ndani.
Vijana wa siku hizi njaa kali sana pesa hakuna hasira zote kwa wanawake.
Angalieni watu wenye kipato kiasi..akipenda ua anapenda na boga lake...mbaya zaidi wewe njaa na mwanamke njaa...balaa zaidi.
Yule Zari wa Diamond pamoja na kuzalishwa na kulalwa na wanaume wanaojulikana but kila siku wanaume wanapanga mstari.Shilole tu hapo pamoja na kuwa na mtoto mkubwa bado wanaume wanajipanga pale -

ISSUE NI UMASKINI TU - Ndo kunafanya tukimbie watu ambao tulikuwa tunawapenda - NJAA NI JANGA
 
Mwisho hua mnasema nilimuoa sababu nilimuonea huruma ila leo kachukuliwa na wanae mjini mimi nimebakia mwenyewe sina hata mtu wa kunipikia na wale watoto nimewasomesha kwa pesa zangu lakini mama yao akawaambia wamesomeshwa na baba yao aliewakimbia bila kuwahudumia miaka yote nimewahudumia aaah ngoja kwanza nilie kwanza kidogo
Umuoe alafu watoto wamchukue yan ni kama wew hapo umtoe mama yako kwa baba yako uishi nae wewe mbona kama impossible unless anateswa au ananyanyaswa

Ukisomesha mtoto ambae sio wako ni fadhila na ni msaada sio wajibu wako mbona kuna watu wanasomeshwa na ndugu na mzazi yupo ila mara nyingi kuna baraka nyingi kuliko hasara
 
Hizo scenario zipo mjomba chama cha wanaume wanasimulia mengi ambayo hujawahi kuyajua wewe bwana mdogo unapaoambiwa single mother kimbia mbali usijitie kutia mguu elewa, mimi mama wa kunizaa alinitamkia rukaruka wee ila usirukie single mother nayaishi maneno yake maana kuna kipindi nilienda kinyume na maelekezo kilichonikuta niliamua kurudi kwenye mstari, ana injini 2 unalisha mama na watoto yeye umpe mitaji pesa za vicoba sijui ujinga gani upuuzi mwingine mwingi halafu hapohapo muda mfupi unakuta karudi kwa njemba zote 2 zilizomzalisha anapigwa pumbu km kawaida kumamaezake
 
Hizo scenario zipo mjomba chama cha wanaume wanasimulia mengi ambayo hujawahi kuyajua wewe bwana mdogo unapaoambiwa single mother kimbia mbali usijitie kutia mguu elewa, mimi mama wa kunizaa alinitamkia rukaruka wee ila usirukie single mother nayaishi maneno yake maana kuna kipindi nilienda kinyume na maelekezo kilichonikuta niliamua kurudi kwenye mstari, ana injini 2 unalisha mama na watoto yeye umpe mitaji pesa za vicoba sijui ujinga gani upuuzi mwingine mwingi halafu hapohapo muda mfupi unakuta karudi kwa njema zilizomzalisha kumamaezake
zee langu la Pepsi barrrriiidiii.....

secretarybird kumewaka
 
Miaka 21....

Nikamshauri fanya kazi maake huna mpango na chuo na bahati nzuri dogo alikuwa na kazi.... japo ya kawaida lakini alikuwa hakosi kula na kuvaa.....

Nikamwambia ukifka hapo 25yr basi Anza kueka mipango ya mahusiano seriously!

Lakini sisi wanaume kukupiga mimba na kukuacha sekunde na kukupamba mwanzoni tuu..... siku tumeona the best ndo basi tena....

Kuna dada mwingine akaniambia naye mwaka huu nisipoelewa nazaa

Maswali yangu upo tyr kuwa single maza?

Je huoni madhara ya kuzaa na wanaume tofaut tofaut pengine italeta athari na mahusiano hasi kwa wanao ?

Jee vipi kuhusu huduma za hao watoto?

Na utazaa na rika gani maake nikikuangalia unakimbilia third floor 30 kama kijana utawezana nao kama sisi sasa ? Kama mume wa mtu unajua changamoto za kuwa na mume wa mtu ? Upo tyr ku control hisia zako na maamuzi utakayopokea kutoka kwa huyu someone's husband?

nimekuja gundua ukiweza kutengeneza darasa la mahusiano, ndoa na uchumba plus saikolojia basi wateja wengi ni wanawake......

Yaaan anaweza kukuambia hata udhaifu wa mumewe mpaka unaogopa! Ni hayo tuu...

Dogo akijichanganya usingle mom unamhusu wallah Mungu amsaidie narudia Tena!
At 21 yupo ready for a lifetime commitment?! Ila ndoa pengine inaweza ikawa jambo zuri kwake..
Ngoja aolewe ..

Huyo mwingine wa 30 imekuwaje na yy anataka kuzaa kama hajaolewa?inaonyesha yupo Tyr kuzaa na yeyote?!( Hatari hii)
 
Huyo wa 21.... ni story ndefu..... Hana wazazi and kalelewa na ndugu zake japo hayo ni maisha tuu.....

Huyo jamaa hamna anaemjua zaidi yake as per maelezo yake.....

Huyo wa 30 ttzo ni kwao..... wanataka mwanaume wa huko kwao..... Nikamwambia hiyo ishu niachie Mimi kama kwenu hawakuelewii.....

Maake umri unakimbia tuachane na motivation speaker Kaz zao oooh hata ukiolewa na 40yrs.... ni sawa Ila kiuhalisia ni tofaut
 
Hizo scenario zipo mjomba chama cha wanaume wanasimulia mengi ambayo hujawahi kuyajua wewe bwana mdogo unapaoambiwa single mother kimbia mbali usijitie kutia mguu elewa, mimi mama wa kunizaa alinitamkia rukaruka wee ila usirukie single mother nayaishi maneno yake maana kuna kipindi nilienda kinyume na maelekezo kilichonikuta niliamua kurudi kwenye mstari, ana injini 2 unalisha mama na watoto yeye umpe mitaji pesa za vicoba sijui ujinga gani upuuzi mwingine mwingi halafu hapohapo muda mfupi unakuta karudi kwa njema zilizomzalisha kumamaezake
Mkubwa hakosei huenda uliambiwa fumbo usilolijua rudi kwa mzazi mwambie akufumbulie fumbo lako..

Thamani ya mwanamke haishuki kwa kuzalishwa Ndio maana mpka leo wew hapo una muheshimu na unampenda mama yako thamani yake haibadiliki na hailinganishwi

Usichojua Tu hyo single maza amezalishwa na mwanaume kama sisi either kwa kubakwa, mwezie kufariki au migogoro sio wote wapo Sawa

Kuna ambao wapo tayari kupenda kujali sio kigezo cha kumtumia na kumuacha kisa tu ni single maza utamsababishia machungu na hayo machungu niamini mimi yanakurudia
 
Huyo wa 21.... ni story ndefu..... Hana wazazi and kalelewa na ndugu zake japo hayo ni maisha tuu.....

Huyo jamaa hamna anaemjua zaidi yake as per maelezo yake.....

Huyo wa 30 ttzo ni kwao..... wanataka mwanaume wa huko kwao..... Nikamwambia hiyo ishu niachie Mimi kama kwenu hawakuelewii.....

Maake umri unakimbia tuachane na motivation speaker Kaz zao oooh hata ukiolewa na 40yrs.... ni sawa Ila kiuhalisia ni tofaut
Kwahio kama hana wazazi ndo aolewe mapema.? Kwanini asijijenge kwanza? Ila kama mwanaume kapata sahihi kazi kwake?!

Huyo wa 30 issue akuachie kwamba umeokota dodo?
 
Naongea kama mama naongea kama mwanamke mnaoongea ovyo kuhusu Hawa single mama wengine mama zenu pia walikua single mama (siongei Kwa ubaya) ila mnakuja humu mnajitutumua vifua kuwachafua Hawa wanawake wengi wenu humu mmezalisha na mmekimbia majukumu na kingine nyie ni wanaume mnaonda kua na familia mtazaa watoto wakike watazalishwa na kuja nyumban kwako na wewe kama baba utalea mjukuu asiye na baba mark my words naona mapovu yanawatoka mnasahau what goes around........
 
Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Ukimpenda Mmakonde, mpende na ndonya yake!
 
Naongea kama mama naongea kama mwanamke mnaoongea ovyo kuhusu Hawa single mama wengine mama zenu pia walikua single mama (siongei Kwa ubaya) ila mnakuja humu mnajitutumua vifua kuwachafua Hawa wanawake wengi wenu humu mmezalisha na mmekimbia majukumu na kingine nyie ni wanaume mnaonda kua na familia mtazaa watoto wakike watazalishwa na kuja nyumban kwako na wewe kama baba utalea mjukuu asiye na baba mark my words naona mapovu yanawatoka mnasahau what goes around........
Mimi Baba mtata mwanangu hatozalia nyumbani kwangu, Baba lazima uwe kiongozi mwenye mamlaka ndani ya familia, mtoto wako wa kike hawezi akakubari kuzalishwa ikiwa ya kua anajua kuna Baba mtata nikizaa nimekosana na Baba, lazima aombe kuzalia kwenye ndoa, shida ni wanaume kupoteza mamlaka kwenye familia ndio hapo yanapoibuka ya single mother mama mwanae akipigwa mimba anachekelea kapata mjukuu bila kuangalia kwamba ameingia kwenye list ya single mother, wamama wengi mkiona mabinti zenu wanachelewa kuzaa na umri unawakimbia bila kuolewa mnaanza kuwaambia wazae ili wasije wakafika ukomo wa kuzaa na hawajazaa wala kuolewa na hapo ndipo single mother anapoingia kwenye list
 
wengi tumelelewa na mama tu usikute hata humu wanao waponda hao single maza hawamjui baba..

Wengine baba yupo Lkn hawajali kwasabab anafamilia nyingine nje mama ndo anapambana kukupa hela ya ada kula mavazi

Kuna wewe uliye lelewa na baba na mama umepata malezi bora kwa wazazi mshukuru Mungu

Hawa mnaowaita single maza wanahangaika wanapambana na Mwenyezi Mungu awafungulie njia mfanikiwe.

. binafsi nilizaliwa na single maza na kwa hizo kejeri zenu na dharau naamini bimkubwa alipitia mengi magumu ila saiv Nipo kijana wake one day nitakuja kuwa kama diamond platinums na mimi nimfute machozi mama niwe kama hakimi nimfanye mwenye furaha one day just one day in shah rukh khan voice
Mkuu, kesi ya mama yako inaweza ikawa ni tofauti na hawa wadangaji wakutembea na wabab watu wazima.

Yaani kisichana cha miaka 21 katembee na libaba la miaka 45 huko kapigwe mimba alafu mimi nikaonee huruma wakati vijana wa rika lake alikuwa anawaona kama kenge??..

Hell Noo..
 
Shida niwanaume tu kushindwa kuwamiliki wanawake, mmewatoa wanawake nje madhara yake ndo hayo, kubalini maendeleo na mkubali madhara yake, acha niitwe vyovyote vile lkn Mwanamke si wakusomesha kwenye kusoma watatia vitu, si wabiashara huko kwenye biashara atatiwa, si wa kazi huko kazini atatiwa tu, kwangu Mwanamke ni ale avae alale, baada ya hapo nikumuozesha hakuna kingine.
Vijana wa hovyo wanazalisha Kila Kona kama mbwa halafu hawatunzi watoto, at the same time hawataki wanawake waliozalishwa, wanawake wenyewe wanatanua miguu kama vile wanakufa kesho. hili ni janga lingin
 
Robert Heriel Mtibeli kila siku anawaambia muwe na wanawake wenye shughuli za kueleweka na vipato vyao ninyi ni wabishi.

Unakuaje na pisi ambayo una malengo ya kuoa na haina mishe yoyote, haina akili ya maisha, hata haiwezi kukushauri mambo ya maendeleo.

Kua single maza sio shida ila hizo akili finyu za kutaka mwanaume atakaekua nae ndo ahudumie kila kitu ndio tatizo.
 
Mimi Baba mtata mwanangu hatozalia nyumbani kwangu, Baba lazima uwe kiongozi mwenye mamlaka ndani ya familia, mtoto wako wa kike hawezi akakubari kuzalishwa ikiwa ya kua anajua kuna Baba mtata nikizaa nimekosana na Baba, lazima aombe kuzalia kwenye ndoa, shida ni wanaume kupoteza mamlaka kwenye familia ndio hapo yanapoibuka ya single mother mama mwanae akipigwa mimba anachekelea kapata mjukuu bila kuangalia kwamba ameingia kwenye list ya single mother, wamama wengi mkiona mabinti zenu wanachelewa kuzaa na umri unawakimbia bila kuolewa mnaanza kuwaambia wazae ili wasije wakafika ukomo wa kuzaa na hawajazaa wala kuolewa na hapo ndipo single mother anapoingia kwenye list
Uko sawa kabisa lawama za kwanza ni wanaume hasa kwa kuwa wanataka watoto wao waje wawasaidie ilhali wanaume maisha yanawashinda wanawake watayawezaje? Wanaishia kupigwa hasara kotekote
 
Back
Top Bottom