Mimi Baba mtata mwanangu hatozalia nyumbani kwangu, Baba lazima uwe kiongozi mwenye mamlaka ndani ya familia, mtoto wako wa kike hawezi akakubari kuzalishwa ikiwa ya kua anajua kuna Baba mtata nikizaa nimekosana na Baba, lazima aombe kuzalia kwenye ndoa, shida ni wanaume kupoteza mamlaka kwenye familia ndio hapo yanapoibuka ya single mother mama mwanae akipigwa mimba anachekelea kapata mjukuu bila kuangalia kwamba ameingia kwenye list ya single mother, wamama wengi mkiona mabinti zenu wanachelewa kuzaa na umri unawakimbia bila kuolewa mnaanza kuwaambia wazae ili wasije wakafika ukomo wa kuzaa na hawajazaa wala kuolewa na hapo ndipo single mother anapoingia kwenye list