Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Hawa ni watoto wa 2000. Hawana adabu wala busara na hizo ndio lugha zao. Sana sana watakushangaa wewe unaongea nini.Wazee hata kama ni risky kuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto ndio mtumie lugha mbaya hivi?
Umaskini nao unachangia ndugu yangu. Watafute helaHawa ni watoto wa 2000. Hawana adabu wala busara na hizo ndio lugha zao. Sana sana watakushangaa wewe unaongea nini.
Mbona sisi wajomba zao na umaskini wetu hatukuwa hivyo ujanani?Umaskini nao unachangia ndugu yangu. Watafute hela
Siyo kweli,utoto unawasumbua,na mtazaa mabinti watakaozaa nje ya ndoa,halafu mtafurahi kipindi hicho mvi zimewajaa na figo zikisumbua baada ya kuziharibu na visunguranaskia wanapenda bad boys, wale wanaume wahuni wakabaji na wavuta bangi
naskia ndo kiini cha tatizo
Yaani ni bahati mbaya kwa kwelinaskia wanapenda bad boys, wale wanaume wahuni wakabaji na wavuta bangi
naskia ndo kiini cha tatizo
Sio kirahisi hivyo! atarudi huyo, kumuondoa hapo ulete Kifaru.Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Wanasema kapendwe na mama yakoMkuu, na sisi tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa nani atatupenda sasa?? Au mishangazi??..
Siku sio nyingi wataanza kuponda wenye HIVMbona sisi wajomba zao na umaskini wetu hatukuwa hivyo ujanani?
Upo sahihi mkuuYaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto
Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi
Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako