Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Yaani nimeopoa Dem mkali kuja kushtukia ana watoto wawili alafu ni 24 tu ukimuangalia ni msafi ukimuacha ndani unakuta mazingira safi chakula kizuri na.kana heshima ila ukimuacha tu inabidi umuachie hela ya matumizi ya ndani alafu atakwambia naomba hela nitume nyumbani wanangu wale yaani watoto wanamtegemea ukimuuliza baba yao yupo.wapi anakwambia kashaowa. Hivyo.hausiki na malezi ya watoto

Yaani nitoke niache 10,000 ,12000 mezani alafu nitoe yena 7000 atume kwao nikaona hapa sio pa kuweka kambi nikamwambia tu nna ugeni wa ndugu zangu hivyo aende kwao wakiondoka atarudi

Ingekuwa wewe ungekaa nimetimua mbio yeye.mwenyewe haamini kataa single mother kwa usalama wako
Sio kirahisi hivyo! atarudi huyo, kumuondoa hapo ulete Kifaru.
 
Upo sahihi mkuu
 
Alikuwa jasiri[emoji119][emoji119][emoji119]kwamba lete hela nitume nyumbani [emoji123][emoji123][emoji123]dah strong woman
Bora angetumia maarifa mengine jukumu la kulea hao watoto sio kabisa lako
True
 
Back
Top Bottom