Kwa nilichokiona, Wanaume kuweni makini na wanawake wenye watoto

Hizi nyuzi Kuna wanaume wenzenu huenda wanajisikia vibaya sana kwani wamezalidha mabint za watu wengi tu na bahat nzuri wamepata watoto wa kike

Kakazangu punguzeni ukali wa maneno na nyinyi mtakuwa na watoto wa kike hamuwez kujua watapitia nn na watafanya makosa gani
Ni kheri aliyezaa kuliko anaetoa mimba mnaona ni mabint kumbe ni mama wa marehemu
 
wengi tumelelewa na mama tu usikute hata humu wanao waponda hao single maza hawamjui baba..

Wengine baba yupo Lkn hawajali kwasabab anafamilia nyingine nje mama ndo anapambana kukupa hela ya ada kula mavazi

Kuna wewe uliye lelewa na baba na mama umepata malezi bora kwa wazazi mshukuru Mungu

Hawa mnaowaita single maza wanahangaika wanapambana na Mwenyezi Mungu awafungulie njia mfanikiwe.

. binafsi nilizaliwa na single maza na kwa hizo kejeri zenu na dharau naamini bimkubwa alipitia mengi magumu ila saiv Nipo kijana wake one day nitakuja kuwa kama diamond platinums na mimi nimfute machozi mama niwe kama hakimi nimfanye mwenye furaha one day just one day in shah rukh khan voice
 
Kwa mtazamo wako ni kwamba wanatanguliza tamaa mbele
 
Pole sana mkuu ila sidhani kama ni sahihi kumfananisha mama na hawa mabinti wa kisasa.
 
Hongera sana Mkuu kwa mawazo Chanya na pia kwa ushauri mzuri.

Wanaume wengi wamekata tamaa, na kwa ujinga wao wanahendekeza ngono saaa wakishapigwa wanaanza kutukana kila mwanamke na hasira zao zinaishia kwa single maza.
 
Ninaandika......

Hapa dasalamu nilipo, Kuna dogo ambaye ni mdogo wangu .,.,.,.

Juzi kanifata broh, vipi akaniambia sasa sunajua nilishawah kukushirikisha mahusiano yangu ...

Nikamjibu ndiyo.... Nikamuuliza Kuna tatizo akasema hapana Ila nadhani nimepata ujauzito hivyo mwaka huu nitaolewa!

Nikamuuliza Tena, toka mwanzo nilikuambia usibebe mimba ya mtu ambaye hajakuoa ama hamjamaliza process za kuelekea kukuoa

Akanijibu... Broh mimi natamani tuu nipate mtoto afu jamaa ananitunza plus maneno kibao..... Namuamini hatoniacha..., mara Hana wazazi km Mimi nilivyo...... so hawezi nifanyia hivyo

nikamjibu...... Binadamu tuna tabia ya kubadilika muda wowote na saa yoyote! Uwe tyr kwa mabadiliko yoyote utakayopata!

Akaniambia mwenyw hapo nimekuelewa lakini sasa sijui hii mimba exactly ni ya nani! Maake ndani ya siku tano za mwezi x nilikutana na jamaa mwenye dream ya kumuoa huku akikutana na mwingine ambaye anamchukulia kama homeboy ko ananiambia haelewi


Nikamwambia kila la khery!

Naona dogo akijichanganya usingle mom unamhusu wallah Mungu amsaidie kama sio dogo..... Keshaula wa chuya!

Afu Wairaq dah 😂 😂 nimekaa nao six months aseeh ni wazurii lakini ni shigidiiii
 
Sio wote wako hivyo, halafu wewe na huyo mwenzio mlichukuana na bila kuongea mstakabali wa maisha mtakavyo yaendesha... Anyways, ukipenda boga lazima upende na ua lake 😅😅😅.
 
Dhaambiii
 
Kapenda adi haoni future
Ana miaka mingapi kwanza huyo dogo?
 
Vijana na nyie tafuteni hela. Hiyo ndio hela ya kuja kukalamika hapa hiyo?. Endelezeni kujiharibu tu kwa punyeto,lakini utelezi wa bure huupati kokote. Hata hao mnaosema wenye uwezo ni 2% tu vinginevyo labda mnahamashishana kijanja kulelewa na mishangazi tu likuamulishe.
Sasa Ona kama huyo binti anakufanyia kila kitu Safi kabisa. Single mother wanajielewa sana
 
Mkuu hawa single maza ingawa wengi ni kwa ujinga wao. Lakini wengine ni victims wa vitendo vya kikatiri walivyofanyiwa na wa naume.
So tusifanye collective judgement.
Hujawahi kuingia kwenye mahusiano nao wewe jaribu kuruka hata na mmoja utajionea, rule #1 ukitaka umu-win singomoza jifanye unampenda mwanae vizawadi vya hapa na pale kazi imeisha sasa baada ya hapo subiria kupokea ulichokua unakitafuta
 
Hongera sana Mkuu kwa mawazo Chanya na pia kwa ushauri mzuri.

Wanaume wengi wamekata tamaa, na kwa ujinga wao wanahendekeza ngono saaa wakishapigwa wanaanza kutukana kila mwanamke na hasira zao zinaishia kwa single maza.
Machozi ya huyo mwanamke na mtoto wanavyo teseka na kupewa kejeli dharau ni laana.. sometimes hatufanikiwi kwasabab tuna waliza wasio na hatia.

Baya likimfanya mtu akalia linatabia ya kurudi na likirudi linarudi vibaya na hyo Ndio KARMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…